Atakua anatafakarii.....
....Na hawa ndio wanaopitisha hoja za msingi bungeni wakiwa usingizini mwishowe wanaingiza nchi kwenye matatizo ya Dowan's, Richmond, Meremeta, Kagoda etc etc etc...............Jitu limevimbiana utadhani kuna pump inajaza upepo..Walaaaniwe kabisa!Ndio tatizo la kuchagua mijitu ya ovyo kazi kulala ovyo.
Kwenye posho hulali lakini hoja za msinngi ngriiii
![]()
Kwenye posho hulali lakini hoja za msinngi ngriiii
![]()
Kwenye posho hulali lakini hoja za msinngi ngriiii
![]()