Dah Makongoro hakopeshi!

Dah Makongoro hakopeshi!

Hivi nyie mnadhani makongoro mzimae,hivi unaweza piga gongo akili ikawa timamu kweli,huyu muda wote yuko vyombo sasa unategemea nini kutoka mdomoni kwake,na mtu wa aina hiyo huwezi mshitaki kisheria yuko insane na hana kosa.
Watoto wa mafisadi kazini mako kiboko yenu...
 
Makongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili chochote ataishia kuwadhibiti wanaompinga, huku wananchi wakiendelea kuteseka kila uchwao.
 
Hatutak rais mnywa gongo kadanganywa na midimu ili amchafue lowasa eti apewe uongozi ajui mafia ndio wanaosmamia show atajutia matusi yake chumban hamjui Jk amuulize nape wa ccj na mradi wa kuvua gamba aliishia wapi

Mafisadi mmeshaanza kujipa vyeo vya Umafia. Kazi mnayo. Hatishiki mtu hii sio nchi kwa ajili ya Mafisadi tafuteni nchi yenu.
 
Hivi mtu unaweza kupata hata udiwani tu, kwa kutajataja watu majina
 
Mkuu huyu ni kiboko ndo maana timu fisadi matumbo joto, haogopi mtu!!

Angekuwa anapewa coverage na hizi media za mafisadi, akyanani nakwambia sasa hivi tungekuwa tunamsadia kujadili baraza la mawaziri

Mkuu naona hujui nini umeandika hapa,kwani hata akipata media support ndio zinazoingia kwenye mkutano wa maamuzi ya ccm?
 
Umeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za Sokoine

Namuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu

Sahau kutawaliwa kwa kupeana madaraka kwa zamu kwani hii nchi si ya kifalme.
 
Umeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za Sokoine

Namuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu
He hivi nchi hii bado kuna watu wanatamu ccm iendelee kutawala nchi hii?ili wafanye nn sasa
 
Makongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili chochote ataishia kuwadhibiti wanaompinga, huku wananchi wakiendelea kuteseka kila uchwao.
Mkuu tatizo kubwa la nchi ni panya (ufisadi/wizi),Leo watanzania hawaoni aibu kuitwa wezi,ccm inajenga Taifa la wezi,tunahitaji rais wa mwenye uwezo wa kuwapa sumu Hawa panya na kuwateketeza Kabisa,bahati mbaya rais wa namna hiyo hawezi kutoka ccm
 
Makongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili chochote ataishia kuwadhibiti wanaompinga, huku wananchi wakiendelea kuteseka kila uchwao.

Huo ndio ukweli na ccm wakimpitisha nitawashangaa,na ipo siku na rizi moko atapata urais
 
Back
Top Bottom