Dah Makongoro hakopeshi!

Dah Makongoro hakopeshi!

The others. .......All these contestants/ aspirants are manipulators. ..
Wanaona matatizo na udhaifu wa CCM kwa kuwa wanataka kugombea Urais.
Mara ngapi wamebaki kimya kwa issue zilizokuwa na maslai kwa wananchi? !
 
Alibaki kimya au media za kifisadi hazipendi kusikia habari za wazalendo?
 
Hatutak rais mnywa gongo kadanganywa na midimu ili amchafue lowasa eti apewe uongozi ajui mafia ndio wanaosmamia show atajutia matusi yake chumban hamjui Jk amuulize nape wa ccj na mradi wa kuvua gamba aliishia wapi

Kunywa gongo ni personal issue zinatuhusu nini sisi kama taifa?? Tunahitaji utendaji usio na shaka. Kuna Marais wanavuta mpaka bangi lakini maendeleo ya nchi zao yanakua kila uchao.

Na ukumbuke kila mtu ana kilevi chake.. Bora huyu wa gongo kuliko yule mlevi wa pesa za walalahoi..!
 
Nimemsikiliza Makongoro nimempenda sana hakopeshi anakupa kitu live, viongozi kama hawa ndani ya ccm ni wachache sana, makongoro Nyerere ni mwanaume mpeni chama anatosha sana!!
 
Lowassa, hivi abaitakia nini ikulu?.... watanzania tunataka kuleta laana nchi hii fisadi aende ikulu!!
 
Wanabodi,
Naomba kama inawezekana sambazeni haraka CD za makongoro Nyerere ili watu wasikilize hotuba zake maana sioni promo yoyote kwenye TV kama anavyofanya Lowassa . Naamini Mako, akipewa airtime ya kutosha kwenye Redio na TV mafisadi yote yangekuwa hayasikiki. Lakini naamini nguvu ya umma itaamua,
 
Nimemsikiliza Makongoro nimempenda sana hakopeshi anakupa kitu live, viongozi kama hawa ndani ya ccm ni wachache sana, makongoro Nyerere ni mwanaume mpeni chama anatosha sana!!

Maneno yako itakuwa vizuri yakitua ndani ya vikao vikuu vya maamuzi ya ccm
 
The others. .......All these contestants/ aspirants are manipulators. ..
Wanaona matatizo na udhaifu wa CCM kwa kuwa wanataka kugombea Urais.
Mara ngapi wamebaki kimya kwa issue zilizokuwa na maslai kwa wananchi? !

Ni ule msemo usemao mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani
 
Kunywa gongo ni personal issue zinatuhusu nini sisi kama taifa?? Tunahitaji utendaji usio na shaka. Kuna Marais wanavuta mpaka bangi lakini maendeleo ya nchi zao yanakua kila uchao.

Na ukumbuke kila mtu ana kilevi chake.. Bora huyu wa gongo kuliko yule mlevi wa pesa za walalahoi..!
Mkuu kuendelea kumpigia debe makongoro ili apate urais wa tanzania ni kusafisha njia kwa kila kiongozi kuhakikisha mwanawe anakuwa rais,ikumbukwe kuwa Tanzania siyo taifa la kifalme
 
Back
Top Bottom