DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,688
Nimependa avatar yako mtu akiitizama vizuri ina resemble sura ya idiot-ism, hivyo sina shaka you were right with your favorite resemblePresident wa wanywa komoni
Nimependa avatar yako mtu akiitizama vizuri ina resemble sura ya idiot-ism, hivyo sina shaka you were right with your favorite resemblePresident wa wanywa komoni
President wa wanywa komoni
Chanzo chako cha habari ni kipi mkuu?Angekuwa na uwezo huo angekaa maisha yake yote nyumbani hata kazi hakuwahi kupewa hata ya kupendelewa..Makongoro ni kopo la chooni na baba yake alilijua hilo ndio maana maisha yake yote kakaa nyumbani kumwagilia bustani na kunywa gongo
Well kama anaongea hayo, mara mia aendelee JK. Unajua kwenye kapu la wabovu wote ni bora kuwa na mbovu kidogo, kuwa na mbovu zaidi ni hasara. Anaposema Lowassa muongo atwambie nani mkweli....ni vizuri angesema atafanya nini, hawezi kuchaguliwa kwa kumshambulia Lowassa.Umeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za SokoineNamuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu
Well kama anaongea hayo, mara mia aendelee JK. Unajua kwenye kapu la wabovu wote ni bora kuwa na mbovu kidogo, kuwa na mbovu zaidi ni hasara. Anaposema Lowassa muongo atwambie nani mkweli....ni vizuri angesema atafanya nini, hawezi kuchaguliwa kwa kumshambulia Lowassa.
Naye huyu mlevi wa gongo ni wa kumjadili?
Mkuu Makongoro anajua utaratibu, kwa sasa hawezi kusema atafanyanini kwani ilani ya uchaguzi ya chama haijatoka bado, hao wanaosema watafanya hichi na kile ni danganya toto tu kwani wanajua watz wengi hawajui utaratibu