Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,218
- 98,176
Mtasubiri sana na UPAWA.
Naona jina hilo bado hujalishika vizuri ila utalijua vizuri kwani haliepukiki mkuu anza kulizoea
Mtasubiri sana na UPAWA.
Mkuu kuendelea kumpigia debe makongoro ili apate urais wa tanzania ni kusafisha njia kwa kila kiongozi kuhakikisha mwanawe anakuwa rais,ikumbukwe kuwa Tanzania siyo taifa la kifalme
Alibaki kimya au media za kifisadi hazipendi kusikia habari za wazalendo?
Lowassa, hivi abaitakia nini ikulu?.... watanzania tunataka kuleta laana nchi hii fisadi aende ikulu!!
Amesema, Lowassa aliita watu akaahidi ku address skandali la Richmond, hakuongelea. Ni mwongo. Hapo gongo na insanity ya Makongoro ni nini, amekosea wapi????Hivi nyie mnadhani makongoro mzimae,hivi unaweza piga gongo akili ikawa timamu kweli,huyu muda wote yuko vyombo sasa unategemea nini kutoka mdomoni kwake,na mtu wa aina hiyo huwezi mshitaki kisheria yuko insane na hana kosa.
Ni nani, Yuda Iskariote?Basi tufanye rais awe ndumila kuwili na msaliti kama yule wa mwandiga
Magufuli nae ndo walewale.Umeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za Sokoine
Namuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu
Ni nani, Yuda Iskariote?
Hahahahaa huyu nilishasema kuwa hana presidential cachet.
Ni loose cannon flani hivi...
Nitashangaa sana kama CCM wakimteua.
bro mako ni kiongoz asyetafuna maneno hamna mwanaccm anaweza sema iv
Atafute wadhamini wakati kesharudisha fomu?
Mkuu kuendelea kumpigia debe makongoro ili apate urais wa tanzania ni kusafisha njia kwa kila kiongozi kuhakikisha mwanawe anakuwa rais,ikumbukwe kuwa Tanzania siyo taifa la kifalme
Kazi ipo...Lowasa asipopitishwa waweza kufa kwa kihoro bure!!!
Uenyekiti wa Mkoa tunajua wote waliokuwa nyuma ya pazia.
Jiandae kisaikolojia kijana.
Alibaki kimya au media za kifisadi hazipendi kusikia habari za wazalendo?
Mkuu mawazo yako yapo sawa na ni ya kujenga,ila kwa hali iliyopo kwa sasa ndani ya ccm ni hatari sana kwani rushwa inafanyakazi yake,busara imeshikwa shingoni.Mie nawashauri tu CCM, kwa jinsi ambavyo Lowassa amejijenga huko mitaani kwa kumwaga pesa, anajua anatoswa mapema tu. Hawa watu waliokuwa wanamdhamini wengi walihongwa ila tuchukulie nusu yao lazima ataondoka nao na wanaweza wakarudi Ukawa kwa hasira ili kuikomoa CCM, kama ni hivyo ukiwachukua nusu hawa na ukawachukua wale wote walio Ukawa basi hizi kura zinatosha kuivusha Ukawa. Sasa ili CCM nao kuweza kuwarudisha wananchi na kuwagawa nusu kwa nusu na wale wa Ukawa hapa ni lazima CCM apitishwe mtu anayeuzika hata kabla hajauzwa, ni lazima apelekwe mtu ambaye atasaidia kuokoa hizi kura na hatimaye kazi yao iwe rahisi, Makongoro ndiye mtu pekee ambaye anaweza kurudisha watu hawa kwa CCM, watu wamekosa imani na CCM na huo ndo ukweli, ila hotuba na maongezi ya Makongoro yanawagusa watz wengi sana wanapomsikia anaongea. Wanapata imani hata kama haipo lakini eengi wanamwaona ndo pekee aliyesalia na anayeweza kuaminiwa kwa sasa. Kwahiyo CCM kazi inabaki kwenu na kwasasa uwanja bado ni wenu na muda mnao.
Magufuli nae ndo walewale.
Hahahahaa huyu nilishasema kuwa hana presidential cachet.
Ni loose cannon flani hivi...
Nitashangaa sana kama CCM wakimteua.