Dah! Kwa hili nimeumia sana

Dah! Kwa hili nimeumia sana

Mbona watu mnakuwa wagumu kuachika we umishaambiwa tena kwa kutumia smu yake sa n nn unataka kwa mfano
 
focus kutafuta hela mkuu kipindi hichi acha na viumbe hivi vitakusumbua tuu we mwanaume bana
 
Nilichogundua kwenye huu uzi, binti hajaolewa..

Binti anakupenda ila HUNA HELA na kampata jamaa mwenye hela na kuahidi kumuoa na yupo nae kwa sasa au laa...

Niliwai kuambiwa na binti mmoja "pokea hii simu afu mwambie mimi na mmeo, acha kumfatilia mke wangu"

mkuu ukisubiri embe liive, wengine wanalila kwa chumvi

Tafuta pesa ndugu ukabiliane na dhahma za namna hii
 
Pole sana ndo maana mimi tangu nabalehe sijawahi kupenda
 
achana naye ameshapata anayempa hela,
hakuna mke hapo.
Brother wife material wako wachache sana halafu hawako hivyo.
 
Ushauri wangu.

Endelea tu kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Nilichogundua kwenye huu uzi, binti hajaolewa..

Binti anakupenda ila HUNA HELA na kampata jamaa mwenye hela na kuahidi kumuoa na yupo nae kwa sasa au laa...

Niliwai kuambiwa na binti mmoja "pokea hii simu afu mwambie mimi na mmeo, acha kumfatilia mke wangu"

mkuu ukisubiri embe liive, wengine wanalila kwa chumvi

Tafuta pesa ndugu ukabiliane na dhahma za namna hii
Kweli huyo demu hajaolewa, kama angekuwa kaolewa nduguze wangekuwa wanajua hasa mama!

Kuhusu kupendwa ni uongo kwa sababu ya pesa ni uongo, demu anataka pesa wala sio mtu!
 
Asante mkuu kwa ushauri naamini umenipa mwanga wa kufocus katka maisha
 
Back
Top Bottom