Dah! Kwa hili nimeumia sana

Dah! Kwa hili nimeumia sana

Huyo tayari ni mjawepesi wa jamaa.. suburb ajifungue ili upime DNA
 
Wanaume wa siku hizi jamani!!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nauli ulipotezea, dawa ulipotezea...duuh wee kiboko[emoji15] [emoji15]
 
1. Umempigia simu akapokea jamaa hapo ni dhahiri kabisa ana mtu, huenda hajamuoa au mahusiano yao hayapo wazi kwa ndugu zake ndo maana hawajui. Achana nae kabisa
2. Kuhusu hao ndugu zake unaokaa nao, acha kuwauliza tena habari ya msichana huyo maana lazima atakuwa kawapa mkanda mzima na wao wanakusanifu tu hivyo kaa kimya na kama vipi hama hiyo nyumba maana watakuwa wanakuchora tu mkuu,
 
Huyo sio binti, huyo ni mwanamke tena mke wa mtu.
Hataki ujinga tena ila amekuwa mstaarabu - kashindwa kukutamkia kuwa wewe ni fala tu.
 
Sasa mkuu hapo kweli hata huyo binti kweli akisema arudi kwako utampokea??

Haikuumi kwamba binti kakuacha for another guy??Mpotezee mzee,.
 
Habari wanajamvi JF, natumai muwazima kabisa.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumbani ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae akanielewa ila alitaka nimuoe coz hataki kuchezewa so nami nikamwambia hilo halina shida ila kwa sasa bado sipo vizuri cha msingi nivumilie nijipange kwanza akanielewa baada ya kumweleza hivyo.

Tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu hadi ndugu zangu walijua hilo na huyu nduguye pamoja na mama yake walifahamu,so alikuwa anakuja anytime kwa nduguye ili iwe chance nzuri ya kuonana lakini miezi miwili iliyopita ndio shida ikaanza ambapo tulikubaliana tukutane somewhere lakini akashndwa kufika na nilimpgia simu hakupokea na sms hakujibu kwa siku hiyo.

Baada ya hapo nikawa kimya kumsikilizia kama atanieleza kwanini hakupokea simu na hakujibu sms zangu,so nae akawa kimya kabisa kuhusu hilo baadae kama wiki 2 hivi akanipigia simu anieleza kuwa amesafiri so baada ya hapo nilijiuliza maswali mengi sana kwanini ameondoka pasipo kuniaga ila nikatulia kimya sikumuuliza chochote kuhusu hilo,na huko amekaa mwezi na kidogo ila anakaribia kurudi akaniomba nauli nikamwambia kwa sasa sina hela so labla nikipata hiyo hela.

Nikiwa bado sijamtumia hela ya nauli akanipigia simu akinambia kuwa amesharudi na anaumwa sana so dawa umepata akanijbu kuwa bado hajapata nae hana kazi ya kumpatia hela nikamjibu kuwa anisubiri siku mbili hivi nikipata nitampa akanikubalia so kuna siku sina hili wala lile akaja home asubuhi bila taarifa hadi wengne waliponambia kuwa amekuja so kwenda kumcheki anadai anaumwa sana na muda huo ni jioni so I was take easy kwa hilo kwani ameekuwa na tabia hii ya kuja pasi na taarifa nami nilishaongea nae japo hakunielewa.

Baada ya kukaa nae kwa muda mfupi nikamwambia kuwa kuna kazi so anisubiri na asiondoke bila ya kuonana kwani kuna jambo la kuongea,akajibu sawa mimi nikaondoka baadae nampigia simu anajibu ameshaondoka ila imekuwa ghafla.Nikiwa nawaza kichwani mbona hataki tuongee but I was take easy lakini kuna siku nikamwambia kuwa nahitaji uwe mtu wa kueleweka na muwazi ila iwe rahisi kufika malengo tarajiwa akanielewa japo kwa shingo upande.

Siku nazo zikapita tabia ya mtoto wa kike nikawa siielewi so kuna siku nikamtumia sms kuwa nahitaji tuonane hakujibu ila kuna jamaa akaanza kuchati nami na akanitumia namba ya yule binti akiniuliza mwenye namba ile nani wangu nikamjbu kuwa ni best yangu akanambia kuwa yeye ni mke wake ata nyumbani anafahamika,baadae nikampigia simu yule jamaa akanambia kuwa kama alivyonieleza kuwa ni mke wake so niachane nae so nikaona ngoja nimpigie mtoto wa kike, kumpigia akawa anaongea kwa wasiwasi ila tukaongea kidogo nikakata simu,nikiwa bado siamini akanimiss call kumpgia akapokea yule jamaa akinambia kuwa niachane kabisa na mke wake kwani atanipoteza so hadi hivi sasa nipo dilemma kabisa na nimeongea na nduguye wa huyu binti nae hajui chochote kama ndugu yake ameolewa kwani hana taarifa hiyo ndo maana hata mama yake alinifahamu ila binti amekuwa kmya tangu siku hiyo hadi leo wiki ya 3 sasa na hata kuja huku haji na kila akiambiwa aje na nduguye kuja kuyaongea anakwepa.

So ushauri please wadau
Bado tu unataka yaongelewe!? Kumbe mnajitaftia matatizo wenyewe! Khaaa
 
Unatakanushauriwe nini wewe golddigger wa Dar
Siku zote mwanaume akikataa kukutunza anamtu anamtunza .
sio golddigger umekosea ni mtu asiye na utu anajifanya hajui nini kinaendelea .
yaani mtu unayetarajia kumuoa anakuomba hela ya matibabu humpi hela ya dawa humpi .
Dah halafu akubali umuoe labda kama atakuwa hajitambui
 
Mtu anaumwa leo eti pesa apewe baada ya siku mbili bado tu usikimbiwe??
 
Hahahaa, ukiona mwanamke anakupa mwanaume kwenye simu uongee naye we chukua viatu vyako vaa futa namba zake nenda supamaketi kanunue mahitaji yako ya siku rudi nyumbani kwako weka muvi, pika chakula ule,
 
Alafu wanaume wa aina yako huwa hawadumu na wanawake, wanawake jinsi tulivyoumbwa tunapenda mwanaume mwenye mamlaka juu ya mwanamke, hata kama kwa tamaa zangu ntaamua kucheat bas nacheat kwa uoga na siri kubwa mno mana najua jamaa nilienae akijua ni kiama, sasa wewe mwenzangu ni design ya wale kaka zetu wakipenda wamependaaaa, ukimpeleke kulia anaenda kushoto anaenda basi alimradi nnachotaka mimi au kufanya mimi huna mamlaka ya kunifanya hata nikuheshimu. Kiufupi huyo dada msahau tu atakusumbua mno atakufanya wewe kiraka, kila akipata danga huko anaenda vikimshinda anarudi, na najua hata this time yakimshinda huko atarudi mana anajua huna ujanja kwake atakuja na uongo wa hapa na pale ooh tuyaongee sijui nini akimshirikisha na huyo nduguye basi wamekupata. Kataa kuwa mtumwa yavae mamlaka yako ya kiume, anza upya mbona wanawake wengi tu jamani, wengine mpaka wako tayari kuolewa na mariooo alimradi tu na yeye aonekane ana mume.
 
Mtu anaumwa leo eti pesa apewe baada ya siku mbili bado tu usikimbiwe??
Jamaa hana pesa, na mwanamke ukimpa ahadi hewa na za miaka mingi kutimia lazima ule cha mbavu, jamaa angetaka mwanamke awe wake angefanya juu chini hata kutapeli ilimradi ampe HELA, Pesa ndo kila kitu, ndo kinatufanya tuitwe mabebi mtaani. Sio kwasababu tuna mabebifesi hapana lah, ni wallet tu imetuna
 
Iv kwa nn msiwe mnasoma alama za nyakati?
Demu ata kama unampendaje ukiona anaingiza upepo wai kumpiga chini maana akikuwai umeuimia

Ila ata kama alikua akupige chini wewe ukimuwai ata kwa dakk2 lazima imuume!
 
wanaume wanazidi kupungua kila kukicha.........nilipoona heading ''Dah kwa hili nimeumia sana" nikajua wametatua marinda plain bila KY........kumbe she amekukimbia......tafuta pesa blaza....money ....ankara....dolari......mwanaume pesa...
 
Duuuh,hata kama ningekuwa mimi ningekutosa tu,haiwezekani naumwa unanipiga calendar hata hela ya panadol,duuh
 
Wanaume tutumie akili siku hizi n kama wanawake wanataka.kutuzidi akili sasa.
She is a thief and she has no honor or loyalty.
Pole kwa yaliyokukuta take your time and let go of it.
 
Back
Top Bottom