Kajifunze kiingereza mkuu i was take easy ndo nini? Kama vipi muombe namba ex wa mchizi mmoja hivi juzi kati aliachwa na mpenzi wake kwa kiingereza ilikua hatari sana
Kijana we endelea na maisha yako. Hakuna penzi. Mtu anayeondoka bila kukuaga na hana shighuli yeyote ya kumuingizia kipato anatakaje nauli ya kurudi kutoka kwako?!! Hata hilo pia unaomba ushauri?!! Umeshaonyw kuwa uachane na mke wa mtu. We bado tu unang'ang'ania, cha kufia ni nini?!!
Mwenzako anakuchukulia wewe kama spea tairi. Sehemu nyingine mishe zikibuma ndo anarudi kwako kwa kuwa anajua kuwa hujitambui. Jiongoze Bro.
Siku zote binadamu huwa ana majibu yote ya matatizo ya wengine. Yakimkuta yeye hukosa majibu, mimi sina ushauri katika hilo ila pima shauri za wengi humu, chache ni za kufanyia kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.