Dah! Jamii Forums IMENIPONZA....

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Mm ni mwanafunz wa kidato cha tano katika shule maarufu sana hapa nchini, Jana usiku nimekutwa na kasheshe baada ya kukutwa na teacher nikiwa na simu alafu shule yenyewe hairuhusu mwanafunzi yoyote kumiliki simu.
Na nilikua busy kwa JamiiForums nikichangia matopics ya wanaJF.
Sasa, uongoz wa shule umenipiga suspension ya wiki tatu na sijui nitamwambia nini BiMkubwa home?
Aisee mwenye chochote anisaidie nipate cha kumwambia BiMkubwa.
 
Bi mkubwa anahabari na hiyo cm?
Kama anahabari, aende akakuombee msamaha
Soma kwanza achana na mambo ya kuvunja sheria za shule na kujihusisha na mambo makubwa
Ukimaliza shule njoo jf ipi!
 
Bi mkubwa anahabari na hiyo cm?Kama anahabari, aende akakuombee msamahaSoma kwanza achana na mambo ya kuvunja sheria za shule na kujihusisha na mambo makubwaUkimaliza shule njoo jf ipi!
tena ye mwenyewe ndo alininunulia lakin alinikataza nisiende nayo shule, leo ndo nimeanini "asie skiza la mkuu, huvunjika guu"
 
kama sheria za shule zinakataza kumiliki cmu ukiwa shuleni, bac ulikosa sn kupatikana nayo. Lakini JF ni haki yako, whether ni wa kusoma au la. Fuata sheria za shule unapokuwa mazingira ya shule.
 
Dogo usijitetee kupitia jf. Umevunja sheria tu. Kwani ulipewa hiyo simu ili ujiunge na jf? Bila shaka jf ni matokeo ya ww kuwa na simu
 
pole
lakin kwanini upoteze mda darasan?
y usimsikilize ticha?i knw mwalimu angekuwa zto kabwe angekucha tu..lakin awa walimu wetu ambao ata jf aijui inakuwa nongwa

lakin pia sifuraii wanafunz km wewe ambao 24-7 yupo face buku,twita,jf......

somen nyie
one thng at a tyme...nw waweza kutembelea mablog yote cz wazaz wanakuwezesha ukija fel nakuanza kujisimamia utashndwa kuafod ata kitoch m tellng u

soma kwanza
mda wa jion au break ivi ndo chungulia wats on dunian lakin is MWALIMU YUPO DARASN WE SIMU BZE MKONON MESEJ,FB,JF..ahh apanaaaaaaaaaaaa


mda mwng siku izi unapotezwa kwa intanet sasa wewe unasoma jaman..poteza mda kwa madaftar mdg wangu


uku job unaingia jf kwa kujiiba pia..ushamaliza vporo ndo unaingia umu

SOMA MDG WANGU...soma baba ennh!!!!!!!
 
Kitendo ulichokifanya ni kama kijana wa form2, ambaye anajiona ndo gangwe na anapinga na kila sheria, ulikosea na huna budi kuomba msamaha. natambua JF ina majukwaa mazuri yanayoongeza maarifa na kutoa nafasi nzuri ya uelewa kwa wanafunzi kama ww, lakini hii haikufanyi kuvunja sheria na taratibu za shule. Bado una safari ndefu dogo, moja ya sabau kubwa ya kufaulu masomo ni kuheshimu taratibu na sheria za shule
 
mpuuzi sana wewe yaaani unavunja sheria za shule afu unakuja kuomba ushauri haya nenda kapumzike nyumbani hzo wiki 3 nyambaaaaaf
 
Mie naona unahitaji kuongezewa adhabu kwa kuwa ndo nyinyi mnaoishia kufeli kwa kuwa na vijitabia vibovu. Tena nitamwomba Mod kukupiga ban kwa kuwa unahatarisha future yako
 
katumikie kifungo hicho kisha urudi shule, yahani wewe unaleta utani kweli unachanganya maharage na mlenda? mpaka teacher anakukuta ulikuwa umezubaa wapi? tatizo mnataka muonekane na simu mbele za watu. rudi katumikie kifungo na iwe fundisho kwa wengine
 
Dah! Pole rafik, at mm pnd namalzia 6 nilikuwa addicted kias fulan, ila nilichokuja fanya n kuheshimu masomo kwan hapo upo kwa mda and then utakuwa na mda mrefu na hii Jf, hvyo nikajpangia hakuna kwenda na simu xkul (day xkul), ntacheck Jf nikiwa nmerud hom hapo ratba yangu nimeshaikamilisha, so cha msingi kubal kosa haina kudanganya Jipange hzo wik tatu fanya maamuz magum kwa mustkabal wa future yako.
Be aware Ujana maj ya moto,Angalia yasikuunguze.
 
Kumbe ni mwanafunzi, Soma kwanza mambo ya jf utayakuta tu.Kwa sababu wamekupa suspension ya wiki tatu nashauri mod wakupige ban ya miaka 2.Ukimaliza shule itakuwa wakati wako sahihi wa kuja hapa jamvini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom