Dah! Inaniuma sana

Dah! Inaniuma sana

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Hili ni neno linalinitiaga maudhi sana katika barua za kuomba kazi,
"WAKO MTIIFU KATIKA UJENZI WA TAIFA"
wewe je?
 
mimi nalipenda sana,sababu wanaokuja kuomba kazi kwangu wanalitumia
 
WAKO MTIIFU,ukiajiriwa unaanza majungu kwa huyo mwajiri wako
 
Back
Top Bottom