ukiharibu shughuli ya watu unakua umeharibu career yako ya u MC kwa kiasi flani
Contract inaweza kuvunjwa..na ningeivunja..niamini mimi.
Hata mimi ningevunja huo mkataba wa kutaka kuniabisha na kunidharau, ninge fake kuzimia nikimbizwe hospital na pesa nisingerudisha Pumbaavu.
hiyo siyo broken ,hayo ni mambo ya codemixing..Pole...
Siku nyingine andika kiswahili tu maanake hiyo broken hata kwa super glue haiunganiki.....
Hata mimi ningevunja huo mkataba wa kutaka kuniabisha na kunidharau, ninge fake kuzimia nikimbizwe hospital na pesa nisingerudisha Pumbaavu.
Dah,ingekuwa story mji mzima
Story za mjini hapa hapa bongo land! Hizi zinzopita baada ya dakika 2. Wangesema wangechoka. Hakukuwa na sababu ya kujiweka kwenye stress kubwa hivi. Sio nzuri kwa binadamu yoyote yule. Natumaini machungu yatakuisha muda si mrefu.
Na naona nimepata kaunafuu nilivyo share nanyi, maana hizi siku mbili moyo ulikuwa unauma sana,hata kuwaadisia marafiki niliona aibu wasije nicheka
hiyo siyo broken ,hayo ni mambo ya codemixing..
pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with big offer without me knowing, I asked to be schedule in advance and led me around I got the day falling in the courtyard , lol come back to read the names nkakuta jina la x wangu na jina la binti aliyenipindua, I had no way out zaidi yakufanya lililonipeleka, dah wakuu nimeumia sana
chamsingi kama umeelewa changia mada, mambo ya broken sijui mwachie mwalimu wake
Hao ndo wale wale " much know"
Bwana weee ndio tunajifunziamo humo humo, sasa usipokiandika atajuaje unaweza au hauwezi? Cha msingi umeelewa mengine yanarekebishika taratibu, hata mbuyu ulianza kama mchicha.
:what::what::what::what::what:
Ndo anarekebishwa hivyo...