Dah!!Huyu dingi dah!!!!!

The Boss,katika hali ile unauhakika unaweza kusema hivyo?Je unadhani baba yako atakuelewa?
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hebu tusaidie hapo red.....mwambie kijana amwambie babake kuwa huyo binti alikuwa mchumba wake then urudi uje utuambie baba amelipokeaje.

...Kama ana ubavu wa kumwambia baba yake itakuwa vizuri awe na ushahidi wa kuthibitisha mapenzi yao.
 
BAK sikupi like na wewe sweetlady umetoa like ya nini? natamani kungekuwa na kitufe cha thumb down. hivi wadhani kwa kosa la huyu baba kuwa na mapenzi na gf wa mwanae kunabadili nafasi ya yeye kuwa baba? dunian hata mtu akosee kitu gani bado kosa alilotenda halimbadilish kuwa mtu wala haliamfany akakosa hakia na heshima yake kama binadamu.

binafsi sijapendezwa kabisa na huyu dada kuwa mwepesi sana kwa baba mkwe ila pia nimefurah sana kuona kwamba Mungu kamuepushia huyu kijana dhahama. ndio maisha yalivyo.

Heheehehe nisamehe mwaya lol BAK huwa ananidai like zake 150 sasa ndio niko katika kuzilipa mwenzio lol! Eid Mubarak mpendwa wangu!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi ni kosa la baba ama demu kawa opportunist??!

mentor kwa akili yangua ya kibibi, nimeona posibo hizi hapa
- inawezekana baba hajui kama huyu binti anatoka na mwanae
-inawezekana pia akawa anajua ana atumia nafasi hiyo kurusha ndoana na binti akanasika pia
-inawezekana kabisa kijana alikuwa msiri sana na baba pia so siku walipotambulhana hawakuweza kujadili in deep juu ya mahusiano yao na hapa nataka nimwambie boss ni posibo kabisa kwa baba kutokumjua mchumba wa mwanae wa kiume nategemea na aina ya maisha na mazingira pia utayari wa wawili hao.
-inawezekana kabisa huyu binti akawa ni mpeku peku to the extent ya kuwa na mahusiano mengi ya nje ambayo wapenzi wake hawajui na wakawa na imani sana naye.

haya ni mawazo yangu tu ya kizamani na hapa binafsi sion kwanini Eiyer aseme huyu dingi manake amehukmu kabisa ila angeweka iwena taswira ya kukosewa kutoka pande zote mbili katika heading yake.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe ndio unaharibu kabisa.....kweli hapo unaona inafaa kutulia?

Ni jambo gumu kumweleza mtu una mahusiano na mtu anaetarajia kumuoa,even if that person is your father!!Lazima ufikiri mara mbili mbili!
 
Heheehehe nisamehe mwaya lol BAK huwa ananidai like zake 150 sasa ndio niko katika kuzilipa mwenzio lol! Eid Mubarak mpendwa wangu!
hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.
 
Hehehehe umeanza lini uchoyo?.... Unakuwa mchoyo Eid yote hii bana? acha hizo lol! Hii story kwa maoni yangu hatujaijua nje ndani tusubiri labda mletaji anaweza kutafuta info zaidi hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuchangia kwa kina. Mie nawajua akina Baba ambao huwazengea magf wa watoto wao.

Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba, "Nimemuona Baba anamkata jicho la kumkagua dame wangu nikamwambia Baba mie sipendi tabia yako ya kuzengea wanawake wangu." Nikamuuliza Baba alijibu nini? akajibu alikuwa anasmile tu. Sasa Gfsonwin huyu Baba mwenye tabia kama hii ya kutaka kula sahani moja na mwanae anastahili kweli kuwa na hadhi ya ubaba!? Kwa maoni yangu hastahili kabisa.

Hatujui kila kitu kilichojiri hapa ama kumlaumu Baba au Binti labda tuwe na subira mleta habari anaweza kuongeza zaidi nyama katika habari hii.

BAK sikupi like na wewe sweetlady umetoa like ya nini? natamani kungekuwa na kitufe cha thumb down. hivi wadhani kwa kosa la huyu baba kuwa na mapenzi na gf wa mwanae kunabadili nafasi ya yeye kuwa baba? dunian hata mtu akosee kitu gani bado kosa alilotenda halimbadilish kuwa mtu wala haliamfany akakosa hakia na heshima yake kama binadamu.

binafsi sijapendezwa kabisa na huyu dada kuwa mwepesi sana kwa baba mkwe ila pia nimefurah sana kuona kwamba Mungu kamuepushia huyu kijana dhahama. ndio maisha yalivyo.
 
hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.

Mimi pia njema dia.........wanahitaji kufundwa haswaa gfsonwin .....yaani huyu binti ameangalia baba na mwana nani zaidi akaona baba manake bado kidogo ataitwa mama mwenye nyumba lol......kuhusu hilo la like nimekupata kungwi ndio mana nkasema nisamehe!
 
Last edited by a moderator:
@gfsonwin....Hawa mabinti wa kileo ambao asilimia kubwa wameweka tamaa mbele hata muwafunde vipi!!! asilimia kubwa wataweka mafunzo waliyoyapata pembeni na tamaa zao kuchukua kipaumbele...Hapendwi mtu ila pochi.

hizo 150 uzitoe inapobidi kungwi mwenzangu lol! jaman eid ni njema sana sijui wewe. ila umeona jinsi ambavyo mabinti wanahitaj kufundwa? yaani anagonga baba na mwanae lol! hii ni balaa.
 
Ndio hivyo ishatokea sasa,unataka achangie na mzee wake????huyo demu hamind dogo,hawezi lazimisha mapenzi bhana,achukulie poa tu.

Kumbeeeee!Duh!Omba yasikukute!
 
@gfsonwin....Hawa mabinti wa kileo ambao asilimia kubwa wameweka tamaa mbele hata muwafunde vipi!!! asilimia kubwa wataweka mafunzo waliyoyapata pembeni na tamaa zao kuchukua kipaumbele...Hapendwi mtu ila pochi.

Kweli kabisa hii,vijana kazi ipo!
 
Hehehehe umeanza lini uchoyo?.... Unakuwa mchoyo Eid yote hii bana? acha hizo lol! Hii story kwa maoni yangu hatujaijua nje ndani tusubiri labda mletaji anaweza kutafuta info zaidi hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuchangia kwa kina. Mie nawajua akina Baba ambao huwazengea magf wa watoto wao.

Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba, "Nimemuona Baba anamkata jicho la kumkagua dame wangu nikamwambia Baba mie sipendi tabia yako ya kuzengea wanawake wangu." Nikamuuliza Baba alijibu nini? akajibu alikuwa anasmile tu. Sasa Gfsonwin huyu Baba mwenye tabia kama hii ya kutaka kula sahani moja na mwanae anastahili kweli kuwa na hadhi ya ubaba!? Kwa maoni yangu hastahili kabisa.

Hatujui kila kitu kilichojiri hapa ama kumlaumu Baba au Binti labda tuwe na subira mleta habari anaweza kuongeza zaidi nyama katika habari hii.
BAK kubali kataa hakuna kosa duniani linalobadili ubinadamu wa mtu. yaani mtu akilifanya basi hawi tena mtu bali mnyama wa porini ama wa kufugwa. nafikir hilo huwez kubisha so hata kama baba katembea na gf wa mwanae haibadili nafasi ya yeye kuwa baba mzazi wa kijana na kumfanya kuwa punda wao wa kubebea mizigo.

btw miye siyo mchoyo bana
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Daah!!!! Hii imekaa vibaya kweli.
Mi naona kwanza huyo binti ndiyo mwenye makosa na hajatulia.
Kijana ni vyema ajitahidi kuwa mpole,vinginevyo baba yake atabaini kuwa kuna shida kati yao,jambo ambalo linaweza leta shida kati ya kijana na baba yake.
Kisichoridhiki hakiliki...Kijana aone kuwa si riziki yake.
 
BAK kubali kataa hakuna kosa duniani linalobadili ubinadamu wa mtu. yaani mtu akilifanya basi hawi tena mtu bali mnyama wa porini ama wa kufugwa. nafikir hilo huwez kubisha so hata kama baba katembea na gf wa mwanae haibadili nafasi ya yeye kuwa baba mzazi wa kijana na kumfanya kuwa punda wao wa kubebea mizigo.

btw miye siyo mchoyo bana

@Gfsonwin...anybody can be a father but it takes someone special to be a dad....nilijua weye si mchoyo ndio maana nikauliza kupata uthibitisho.
 
Mwenye tatizo ni binti, kijana hakuwa anamwelewa tangu mwanzo km anampenda au la, hivyo amepewa jibu kwa vitendo, inaumiza ila hamna namna ni sawa km angechukuliwa na mwanaume mwingine je angefanyaje?.

Amwachie baba maana mpaka kutambulishwa ina maana alikuwa ana-share na babake, hivyo asije akamwambia.

Ila awe makini na huyo dada huenda kuna kitu anakihitaji(mali ) toka kwa babake hivyo yeye ndo awe monitor ili baba asije fanya makosa ya kumwamini sana halafu akawaharibia. Na atakapo gundua yupo kimaslahi zaidi amwambie babake.
 
Jamani hii dunia hii... huyo dingi ana umri gani hadi kutembea na huyo binti wa miaka 25??? jamani inawezekana mzee nae ni mpenda totoz na huyo mdada ni gold digger of some sort... sasa huyo kijana afunguke amwambie baba yake kuwa kwa huyo msichana alishapitia huko nyuma,,, nadhani mzee anaweza kumtema huyo dada... kiukweli its not right to share a woman btn a father and his son,,,
 
Back
Top Bottom