Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.