Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,

Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Nyie endeleeni kutoboa tu ila mkija huku kitaa ndio mtakapo ona kweli jua kali maana kuna kitu kinaitwa bench kinasubiri masaburi yenu hayo....JIANDAENI NA UNEMPLOYMENT.
 
nyie endeleeni kutoboa tu ila mkija huku kitaa ndio mtakapo ona kweli jua kali maana kuna kitu kinaitwa bench kinasubiri masaburi yenu hayo....JIANDAENI NA UNEMPLOYMENT.

sa tusipo toboa si ndio tutaisha kabisa mkuu?
 
Poleni sana, japokuwa kusoma hakujawahi kuwa sukari lakini hiyo hari ni mbaya mno. Naona hasara inakuwa kubwa kuliko faida. Ebu wa re-structure mitaala na malengo yao bana
 
watoto wa siku hizi starehe nyingi.Mi niko hapa tangu FOE hadi leo, naona tofauti kubwa sana iliyopo kati ya wanafunzi wa FOE na COET.Siku hizi yaani wanafunzi wanakula raha kama mangwini.

tunakula raha gani mkuu?kama ni msuli yatima tunapiga bt ndo hvo wao ndio wenye rungu mkononi.
 
Mkuu Engineer ni Problem solver sasa wewe mida hii badala ya kupiga shule unakomaa na kuanzisha nyuzi hapa JF mara COET-UDSM wamezidi mara Maandamano unategemea utapata matokeo gani? Komaa na shule dogo, kwa kasi uliyonayo na JF Chambega huwezi kumkwepa bora mdisco ili tupate wahandisi makini kwani wahandisi kama nyinyi mkiingia kwenye system mtakuwa kutwa kwenye JF na FB,
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Huo special upendeleo umeanza kutolewa lini kwa mtu aliyedisco coet, na unatolewa kwa vigezo gani?
 
Pole sana mhandisi nimepita uhandisi na nimesoma electrical general naujua mtiti wa second year na hapo ni chujio maana ni kozi 8 kwa 9 na ngoma zote zimesimama . nafikiri sasa ufike wakati wabadilishe huo mtaala maana unaload kubwa zisizo na msingi

ila kuna shida sana kwa nyie watu wa power maana toka ningia hapo huwa tunaanza idadi sawa 20 mpaka 26.. lakini tukifika second year huwa mnachujwa sana kuna sababu nyingi za hili ntakueleza mmoja baada ya moja kwa uzeofu wangu hapo ...
 
Huo special upendeleo umeanza kutolewa lini kwa mtu aliyedisco coet, na unatolewa kwa vigezo gani?

mbona hapa coet ni kawaida kwa wadada kuonewa huruma,GPA zao zilikua ziko chini ya 1.8 ambayo kwa kawaida mtu unakua umedisco,so wao huwa wanabustiwa.
 
Mkuu Engineer ni Problem solver sasa wewe mida hii badala ya kupiga shule unakomaa na kuanzisha nyuzi hapa JF mara COET-UDSM wamezidi mara Maandamano unategemea utapata matokeo gani? Komaa na shule dogo, kwa kasi uliyonayo na JF Chambega huwezi kumkwepa bora mdisco ili tupate wahandisi makini kwani wahandisi kama nyinyi mkiingia kwenye system mtakuwa kutwa kwenye JF na FB,

masomo bado mkuu..
 
Mkuu Engineer ni Problem solver sasa wewe mida hii badala ya kupiga shule unakomaa na kuanzisha nyuzi hapa JF mara COET-UDSM wamezidi mara Maandamano unategemea utapata matokeo gani? Komaa na shule dogo, kwa kasi uliyonayo na JF Chambega huwezi kumkwepa bora mdisco ili tupate wahandisi makini kwani wahandisi kama nyinyi mkiingia
kwenye system mtakuwa kutwa kwenye JF na FB,

Mkuu mwa
 
Mkuu mwambie dogo uhandisi sio lele mama someni sio complain tu!siku hizi nasikia mnacarry nafuu ukubwa!enzi hizo foe ngoma tatu hamna mjadara!alikuwepo segu,ishengoma,mayo,owen na rubaratuka na mmoja wa mchoro. Yaani utatokea wapi!siku hizi poa sana
 
Hizo zinaitwa "EDUCATION JELOUS ZA MA LECTUREz"Cha kufanya fight kadri uwezavyo ikishindikana MUACHIE MUNGU.polen sana.
 
Back
Top Bottom