Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,738
Reaction score
8,005
Nawasalim wote

Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.

Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.

Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .

Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.

Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa.

Ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,

Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
 
Nawasalim wote
Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.
Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .
Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.
Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa...ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,

Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
Mwak 2029?
 
Back
Top Bottom