Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Sasa unataka uchome na kazi mkuu??? Fanya kazi za watu usiharibu bara na pwani.

Forex psychology inatakiwa mkuu, trading plan, risk management na mambo kibao.....ungezingatia sidhani kama ungechoma account hiyo kwa muda wa usiku mmoja.

Kikubwa uhai tu, pesa huja na kuondoka, tulia nje ya soko kwa muda ukae sawa then ndio urudi la sivyo utakuja kutaka kurudisha kwa hasira mtaji na ndio utazidi kuumizwa
 
2029 mpaka leo una experience ya kutosha, kwenye VAT hapo usiwaze utalipa 225,000 kama penalt
Kwa kadiri unavyoijua forex ndio inazidi ugumu na kuchoma njee nje
Ukiwa mgeni forex sio rahisi kuchoma
 
Mtaji wote huo ulisahau vipi kuweka stop loss
 
Ulijiamini sana! Ulilala au..? Hata Kama hukuweka stop loss si ungefunga tu ukachukua hiyo hasara..
Ebu fikiria naanzaje mim kuchoma account na uzee huu?
Au kuna uchawi ulikuwepo usiku ule?
 
Back
Top Bottom