Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

Nawasalim wote
Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.
Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .
Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.
Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa...ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,

Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
Ulianza mwaka 2029,au naota
 
Ulitaka utoboe halafu uje kuwa mot_speaker hapa! Ahsante Mungu kwa kutupunguzia huyu mmoja
 
Pole sanaa dada marytina some weeks from now you will forget it and u will be ok again
 
Nawasalim wote

Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.

Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.

Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .

Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.

Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa.

Ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,

Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
Ha ha ha pole sana, unamwachiaje broker kukukula kirahisi hivyo huku ukijua vita ya Russia na Ukraine bado ipo uwanjani?. Jipange upya.
 
Sinaga tamaa sana forex ndio maana hiyo account haikuwi kwa kadi, huwa natoa dollar 250 tu kwa mwezi kumudu maisha,
Pole mpz,ajal kazin,jikung'ute mavumbi jigange,life goes on ,pesa zinatafutwa ,next time kuwa mwangalifu usichome Tena account
 
hahahahahahahaha ngoja nicheke kwanza, mkuu ulikuwa unatrade pair gani!? na uliweka lotsize 10.0 ee? mimi niliunguza 4000$ mpaka leo nimepata parkinson disease ya magoti{kidding}.
 
Back
Top Bottom