Dah!!!Ama kweli watu wamedata.

Scorpio"Mokoyo, post: 17986319, member: 21964"]Una makengeza?[/QUOTE]
Mjue Scorpion anawasoma.
 
Bibie vipi? Sijaona dhambi yoyote katika post ya mleta habari huyu...unaweza kutaja dhambi yake nikijiridhisha nimuombee kwa mungu baba?
Watu wana mshangaa huyo dada aliyejichia na kubaki mtupu. Kwa nini mtu atuletee hiyo picha ya mdada aliyesaula? Hilo ndio kosa/dhambi. Mwombee sana kwa Mungu asirudie tena hilo kosa/dhambi.
 
Back
Top Bottom