Polisi wa Kenya ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na tatizo la Afya ya Akili ( Wehu ) katika Ukanda wetu wa Afrika Mashariki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Kama mwaka 1998 nikiwa katika Basi la Scandinavia naelekea Nairobi kutokea Dar es Salaam nilikamatwa kwa Kosa la Kutokufunga Mkanda /Mshipi na waliponishusha chini ili wanichukulie Sheria nilipowaambia nina Mikate na Biskuti ndani ya Basi wakaniambia niwape Wale na kweli nikaingia ndani ya Basi na kuwachukulia Biskuti zangu Mbili za Chocolate na Mkate Mmoja wa Arusha na kuwapa huku Wakifurahi na Kushukuru na Kuniachia niendelee na Safari kwanini leo hii GENTAMYCINE nisikubaliane 100% na hii Ripoti kuwa Polisi wengi wa Kenya Wamedata Kiakili?

Tembeleeni DW Swahili kwa zaidi Ok?
 
Back
Top Bottom