Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,326
- 2,942
- Thread starter
- #381
Mapenzi ni Hisia mkuu.kama mtu hakutaki utalazimishaje
Mapenzi ni Hisia mkuu.kama mtu hakutaki utalazimishaje
Weka basi bhana...!
Niweke nini kijana mbona hutulii, uko unakoishi wachaga hawapo??Weka basi bhana...!
Si ndio maana nikasema sijaona mwenye traaaako jmn. Nakutana na Flat Screen tu my dear...! 😛😛Niweke nini kijana mbona hutulii, uko unakoishi wachaga hawapo??
Kabila pekee linalopatikana kila pembe ya Tz wewe unakosaje mfano??
Kuolea wenzioYapi hayo mkuu...?
Mkoa gani huo walipo haoYaaaani kama wasomali si wasomali waarabu si waarabu, juzi nilimkuta mmoja aisee ukimuangalia unaweza ukasema shombe shombe la kiarabu halafu ni Mama ntilie anasonga ugali nikasema aisee, life is not fair kwa kweli.
Warangi weupe unawasitiri hawana uzuri wowote.Yaaaani kama wasomali si wasomali waarabu si waarabu, juzi nilimkuta mmoja aisee ukimuangalia unaweza ukasema shombe shombe la kiarabu halafu ni Mama ntilie anasonga ugali nikasema aisee, life is not fair kwa kweli.