Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,919
- 53,924
Na ma soap dish yakeHoi Bin Taaban...! 😅
Na ma soap dish yakeHoi Bin Taaban...! 😅
Mie hata sijui kama limeeleweka kiongozi...! 😅Hivo hivo lakn swali si limeeleweka 😂😂
Mara paaaaap. Huyu...! 🤣Ghafla bin vuuu 😂
Naunga mkono hoja wengi hawana adabuAcha tu kwanza hawajui wanataka nini wengi wanajichubua na wanapenda madawa tunawajua hata wambulu teye na dhani ni ke na ni mrangi anahasira sana
Mzee wa kuwekewa ushahidiMara paaaaap. Huyu...! 🤣
Hapa hafukuzwi mtu my dear. 😂Kama kuku,,shiiii shiiii
mzee sasa tuachie vijanaNipo humu since 2011 hadi Leo 😂😁😁😁
Eh maana anakutawala sio unamtawala halafu unaweza letewa mtu ndani halafu unakenua tu kama mazuri unamfukuza leo humtaki kesho unamrudia weweNaunga mkono hoja wengi hawana adabu
Na ni wachawiEh maana anakutawala sio unamtawala halafu unaweza letewa mtu ndani halafu unakenua tu kama mazuri unamfukuza leo humtaki kesho unamrudia wewe
😂Basi sitatumaHapa hafukuzwi mtu my dear. 😂
Yah akitoa sadaka lazima abarikiwe.Hatoi sadaka huyo kazi kusikiliza maombi, hajui wanabarikiwa wengine.
Bila hodiMara paaaaap. Huyu...! 🤣
Wee neng'eneka tu ila cha moto utakiona...! 😅Acha tu kwanza hawajui wanataka nini wengi wanajichubua na wanapenda madawa tunawajua hata wambulu teye na dhani ni ke na ni mrangi anahasira sana
kuna ujumbe wako apa Ms RYah akitoa sadaka lazima abarikiwe.
Kama Fidel Castro vile...! 🤣😁😂😂😂😁😁😁
Unadeka?niache bwan wew
Noma sana mzee baba.Na ma soap dish yake
Wewe upo mkoa gani huo kwani?Hata sijui nisemeje mnielewe.
Nahesabu tu kama Furry na Joshua. 😂Naunga mkono hoja wengi hawana adabu