Hapo mkuu kwangu speed kwa mitandao yote iko vizuri mno shida ni kupunguziwa saizi ya bando.Screenshot ya juu ni mtandao gani? Au ndio vile unapewa MBs kibao, speed network utajua mwenyewe pakuipata
Tueleweshe vyema kuhusu hii kitu.Tafuta starlink satelite internet mkuu acha kulialia.
Wakati umelala mimi niko shift ya usikuWe jiunge tu hivo vifurushi vya usiku, endelea tu kuwadanganya na wenzako... Ikifika saa 5 na nusu usiku tunazima data, amri raia wote mkalale na kujiandaa kwa ujenzi wa taifa na kupambana Corona asubuhi.
Yaani naona kama kinyonga anajitahidi yaani naona spidi ya konokono. Au labda wanazima internet au wanaminya spidi makusudi.Hao Airtel baada Ya kubadili vifurushi , naona sijui wamepunguza na speed Ya internet , maana kwangu ina speed Ya kinyonga
Wote wahuni tu, wauaji . Halotel wana line za Royal, ........ 10,000 Tsh wanakupa GB 12, minutes 1000 mitandao yote na SMS 500 KWA MWEZI. Sidhani kama itaendela maana nadhani wanafanya hivyo kuvutia watu, then wafanya upuuzi waoHapo mkuu kwangu speed kwa mitandao yote iko vizuri mno shida ni kupunguziwa saizi ya bando.
Ya juu ni halotel usiku pack hiyo ilikuwa ni 10gb six hrs sasa ni 5gb six hrs
Wakati ya chini ni Airtel mwanzoni tulipewa 500mb kwa jero na 1gb kwa buku sasa leo kimenuka.
$500 equipment na $99 kila mwezi. Ngoja tupambane na akina Voda tu [emoji23] mpka tukipata hzo helaTafuta starlink satelite internet mkuu acha kulialia.
StarLink ni satellite internet iliyoanzishwa na company ya spaceX huko marekani. Lengo lao ni kuleta high speed and low latency (ping) satellite internet kwa bei rahisi. Satellite internet ya sasa haina speed kubwa na coverage kubwa. SpaceX wamerusha satellite 1145 hadi sasa zinazozunguka kwenye low earth orbit na bado wanaziongeza. Speed ya internet yake kwa sasa ni around 150 - 250Mbps (Download).Nipe shule hapa
Asante kwa kutoa maelezo haya. Ilikuwa nije kuandika umenisaidiaStarLink ni satellite internet iliyoanzishwa na company ya spaceX huko marekani. Lengo lao ni kuleta high speed and low latency (ping) satellite internet kwa bei rahisi. Satellite internet ya sasa haina speed kubwa na coverage kubwa. SpaceX wamerusha satellite 1145 hadi sasa zinazozunguka kwenye low earth orbit na bado wanaziongeza. Speed ya internet yake kwa sasa ni around 150 - 250Mbps (Download).
Kingine pia ni kwamba dish lao lina auto adjustment, hvyo wewe unaweka tu nje (au juu ya paa la nyumba) yenyewe inatafuta satellite za karibu na kuconnect (hakuna maswala ya kutafta fundi wa madish aanze kutafuta satellite na mavifaa yake).
Bei ya equipment (dish, router yake na accessories nyingine) ni $500 (1,160,000) na utakua unalipa $99 (230,000) kwa mwezi for unlimited. Ambayo ni bei sawa tu na satellite internet providers wa hapa bongo wanaokupa 5 - 20Mbps.
Sijajua kama satellite zao zipo reachable hapa bongo ila South Africa tayari zipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kwetu itapiga kazi maana bado wanazidi kupandisha satelites zao naona kwa wamarekani washaanza kufaidi matunda$500 equipment na $99 kila mwezi. Ngoja tupambane na akina Voda tu [emoji23] mpka tukipata hzo hela
Sent using Jamii Forums mobile app
South Africa pia wameshatangaza soon inaanza kupiga kaziSidhani kama kwetu itapiga kazi maana bado wanazidi kupandisha satelites zao naona kwa wamarekani washaanza kufaidi matunda
Jamaa watapiga pesa mbaya maana makampuni kariba yote na watu wenye matumizi kubwa ya internet watahamia kwa starlink maana unalipa fixed amount kwa mwezi
Umesahau kuitaja barakoaWe jiunge tu hivo vifurushi vya usiku, endelea tu kuwadanganya na wenzako... Ikifika saa 5 na nusu usiku tunazima data, amri raia wote mkalale na kujiandaa kwa ujenzi wa taifa na kupambana Corona asubuhi.