Dagaa zawa Mboga ya Christmas 2025

Dagaa zawa Mboga ya Christmas 2025

Labda kwenu huku kibada kila kitaa wanakula stake tu hakuna mifupa
 
Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo cha Sikukuu

View attachment 3520300
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani lakini viongozi wanaleta kejeli ( Magari namba E yamejazana- Mwigulu)

Sikukuu hii ni karma haipo kutokana n.a. Ugumu wa Maisha, Lakini Je hali hii itavumiliwa hadi lini?
Mboga ya kawaida tu hiyo nyie ndo mnaona maajabu.
Naweza kula dagaa wiki nzima sioni tabu
 
Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo cha Sikukuu

View attachment 3520300
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani lakini viongozi wanaleta kejeli ( Magari namba E yamejazana- Mwigulu)

Sikukuu hii ni karma haipo kutokana n.a. Ugumu wa Maisha, Lakini Je hali hii itavumiliwa hadi lini?
Kwa watu wazima mbona dagaa ni chakula bora kabisa ndugu....
 
Inasikitisha sana ,hali ikiendelea hivi itakuwa balaa ,watu inabidi tufunge mkanda turudi enzi za nyerere kula ugali wa yanga ,kufulia kwa majani ya mpapai.
 
Itakuwa watanzania wengi wameamua kufuata ushauri wa Profesa Janabi kula zaidi dagaa ingawa watu wengi wa Iringa wameamua kumpuuza Janabi na kuendelea kufakamia nyama. Pilau la Iringa lina nyama nyingi za kutosha.
 
Hali ngumu hasa kwa nyie nyumbu wahalifu mliotegemea uwepo wa maandamano uchwara ya kihalifu ili mkapore mchele na mafuta kwenye maduka ya watu ndo mkapike pilau, sasa maandamano uchwara ya kinyumbu yamedhibitiwa lazima mle dagaa maana kazi hamfanyi mnawaza kuishi kwa kufanya uhalifu.
 
Hiki kijembe cha kistaarabu.
 
Tena dagaa wenyewe ni ghali sana, wanakula wenye bajeti ya kutosha kununua. Kula dagaa siku hizi ni ufahari kilo ni elfu sita hadi saba. Mwendo ni matembere, mchicha, kisamvu, chainizi na harage
Kilo ime panda hadi 10-12k mzee, wale wa kigoma ndio balaa
 
Back
Top Bottom