Sardines wanapatikana baharini na wanakuwa wakubwa kidogo na wanaweza kuwa wakubwa kama hata sato wasipoliwa na whales na sharks. Hawa wakwetu naona hawakuwekwa kwenye vocabulary ya kidhungu maana labda hawakuwavua. Labda twende google tuone.
Nimeingia google wanawaita Sardines or anchovy lakini kiukweli hakuna jina lolote la kureplace dagaa sababu hawa ni wa maji baridi na hao wengine ni wa maji chumvi. Hii ni sawa na kusema Snapper ndo Tilapia. Uzuri tilapia ana jina sababu waliompa jina walimvua. Nahisi watakuja fanya neno dagaa kuwa official kama safari. Kuna wengine size ya dagaa wanaitwa white bait wanapatikana baharini nao. Hao ndo size ya dagaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.