Mimi naishi mji wa Dar. Wema alimuuzia nani Jo?wewe je? wema ni muuza uchi
Tatizo mafuta yao yanakuaga machafu. Wanakaangia samaki hata siku 3 mfululizo. Kuna mpemba anakaanga kila siku jioni ndo nikitaka nachukua kwake kidogo namuona anajali afya za walaji.Chimbo zuri mkuu nenda siku moja kawe ukwamani pale halafu fanya kama unaingia ndani hivi kuna maza mmoja anakaanga daily
Na mtamu zaidi ukipikiwa birianiBaba usiongelee basmati kabisa, sijawah kula ubwabwa mtamu kama basmati dunia hii. Yaan wakati nko zenj nimeugonga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wali pekee unaweza kula bila mboga [emoji23]
Kuna ndugu flani mpishi Israel alirudi kusalimia akaniagiza halafu ule wali akachanganya na mboga mbichi loh!!.. Nikatengenezewa na juice ya maziwa aseh!!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja 100%Wali pekee unaweza kula bila mboga [emoji23]
kuna ule mchele wa wahindi unauzwa kwenye kimfuko cha kilo 5 unaitwa Bismati ule ndio mchele grade A+ aseh!.. Sema bei zake na quantity yake tu lakini ningeufanya mlo wangu continuosly!..
Nimekubali lile ni home made pishori grade A!..Ndio pishori hiyo kaka
Njo uleAnaitwa dagaa mchele sio chele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio hawa jina la uonoOooh. Tanga wanaita uono