Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa

Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa

Mziki wa Chadema CCM watauweza wapi....
Wakichakachua wataona kilichomnyoa kanga manyoya....
 
Ni akili ya kichaa tu kufikiri unaweza kuhamisha maji ya bahari kwa ndoo.
 
ni kweli kabisa kualisha uchaguzi huku kipo kitu ccm inataka kukifanya kwa kuitumia tume. ila mimi nilivyosikia mkakati mmojawapo wa ccm unataka kutumia ni siku ya uchaguzi kuleta watu wao mapema sana kupiga kura halafu ikifika saa tano polisi waanzishe fujo wapate kisingizio cha kufunga vituo mapema kwa ajili ya usalama
Hilo halitasaidia maana nasisi tutaamka mapema sana ili ifikapo hiyo saa tano tuwe tumeshamaliza kupiga kura na kubaki kuzilinda tu. Labla Wachelewe makusudi kufungua vituo ama wasifungue vituo kabisa kwa hila zao. Uvunjifu wa amani Arusha tumekuwa tanaletewa na hawahawa walinda usalama.
 
Mbona itakula kwao! Yaani wana Arusha tulivyojipanga na uchaguzi huu mbona kitanuka mchana kweupe. Wajaribu waone.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Yangu macho. Fanyeni mtakalo. Lakini tuepusheni na vita. Sawa ndugu zangu?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
ilaigwanak kimasai ni viongozi wa maboma na koo hasazile kuu kama mollel,laiser na lukumay,wanapatikana kwa busara kubwa na na sidhani kama ni wanasiasa ila wengine siku hizi ni njaa njaa na hata pia lowasa alijaribu kuwatumia lakini kisiasa si msaada hasa arusha ambayo kila mtu ni mwelewa,medeye alishawaita wazee na kuwapa chakula chake ni soon aliposhinda alipata kashfa ya uzinzi na ilitapakaa na wazee wengi walimdharau na tena wakasema tulidhani ni mzee kumbe mhuni tena hafananii na alivyo
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.
 
Chadema wana nakala ya daftari la wapiga kura updated before the 2010 General Election.
Tutakomaa nao, bahati nzuri tumepata semina elekezi kuhusu uchakachuzi!!!!

------- zao imekula kwa ccm!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wakuu labda tufanye kudadavua utaratibu wa ku update daftari la wapiga kura ili tuone kama kuna mwanya wanaweza kutumia hawa magamba. DAWA YAO SASA NI KUWAPREEMPT, UKIWAACHIA KIDOGO WASIVYO NA USTAARABU HAYA, OLOOOH.
 
Chadema wana nakala ya daftari la wapiga kura updated before the 2010 General Election.
Tutakomaa nao, bahati nzuri tumepata semina elekezi kuhusu uchakachuzi!!!!

------- zao imekula kwa ccm!!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hivi kwa akili za haraka haraka hao watu wa magendo watatoka nao Dar au watawapata Arusha? Nauliza hivyo kwa vle jinsi vituo vilivyo pangwa wapiga kura wanajuana kwa sura na makazi, pia kwa Arusha Ccm ilisha kufa loooong time kwa sababu ya kampeni zai za maji taka za kuua na kutumia dola kulazimisha kutawala. Yaani hata wale wachache ccm iliyo kuwa inawategemea wamwsha badilika kwa mauaji yaliyotokea juzi, kaburi lao likawekwa zege na Chagonja alipoamua kutumia ma------ kupiga waombolezaji mabomu na hata maaskari kuoiga watu mabomu majumbani na sehemu za biashara, ona hiki kiti ni watu walikuwa bar polisi wakashusha hapo bomu. uploadfromtaptalk1372604250154.jpg
 
Wakumbuke Chadema daftari la mwaka 2010 tunalo yaani nikiona sura ya kima ambayo haipo kwenye daftari langu risasi zitaanzia kwenye kituo changu kudadedi.....

Mkuu Crashwise naamini uwepo wa daftari ni jambo moja na kulifanyia kazi mapema ni jambo jingine hivyo ni Bora kwa kila kata majina ya wapiga kura yaliyomo kwenye list ya 2010 yakaanza kufanyiwa kazi mapema kabla Tume haijabandika majina halisi/Feki.
 
Mkatae mtumie daftari lililotumika 2010 kwani hata huku ISEKE halikurekebishwa hivyo mnatakiwa kuwa nalo la kwenu.
 
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.

kulingana na hicho kikao cha kina ole medeye ni dhahiri kuwa ccm wanataka sasa kupandikiza pia na ukabila,na hii ilianzia kwenye vikao vya mgombea udiwani wa kimandolu Edna...Hii ni hatari sana Mungu tu ainusuru hii nchi na lazma kuchukua hatua mathubuti za kuwaelimisha watu wa vijijini maana ndio target yao kubwa
 
Sitashangaa CCM iking'olewa madarakani kwa vurugu kama za Misri.hii ni njia mbaya ambayo wananchi wanalazimishwa kuichagua.watafanya vurugu,wataharibu amani na watakapoulizwa kwa nini,watajibu "we learn from the best,we learn from our leaders!"
 
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!

ni vigumu kutoa ccm madarakani kwa vipande vya makaratasi ; hiyo trela tu
 
Mkubwa ninajaribu kuwaingilia kwa ndani zaidi nije na kitu kilichojaa!

kulingana na hicho kikao cha kina ole medeye ni dhahiri kuwa ccm wanataka sasa kupandikiza pia na ukabila,na hii ilianzia kwenye vikao vya mgombea udiwani wa kimandolu Edna...Hii ni hatari sana Mungu tu ainusuru hii nchi na lazma kuchukua hatua mathubuti za kuwaelimisha watu wa vijijini maana ndio target yao kubwa
 
Kumbukeni kauli ya mheshimiwa Pinda na mkiendelea na ujasiri huu wa kudai haki zenu kwa nguvu wenzenu walishachoka. Sasa wanatumia nguvu zote kuhakikisha kuwa wanaendelea kutawala. Sitapenda kusikia wengine wamelipuliwa au wamekatwa mapanga au wamepotea huko A town au kwingine kule Tanzania. Waachieni tonge waaendelee kula wao sisi tutokwe na udenda tu kama mataahikla tu kasha tuwapigie makofi kwa uzalendo wao. Nakumbuka kauli ya Mahondas Ghadhi wa India kuwa " Kitu kibaya kabisa ni kumsaidia mtesi wako kukutesa". Ni haki ya kila raia kulinda haki yake na za wengine.
 
Maadam mbinu chafu zimebainishwa mapema ,wana Arusha kaeni chonjo na kila hila kukabiliana nayo.Nawaamini watu wa Arusha kwa kukaba penat.Hakiibiwi kitu.
 
Back
Top Bottom