Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa

Mkatae mtumie daftari lililotumika 2010 kwani hata huku ISEKE halikurekebishwa hivyo mnatakiwa kuwa nalo la kwenu.

Kwanza tayari wamekwisha chemka! Majina yaliyokwisha bandikwa tulikwisha jiona. Kabla ya kuairisha uchaguzi wenyewe...
Na sasa wakija na hayo yakwao tutawakamua pupuu zao!!
 
Niwatoe tu hofu kuwa mbinu hiyo ni ngumu kutekelezeka..population ya arusha mjini ni kubwa mno tofauti na vijijini tukumbuki tu tofauti kubwa ya kura iliyikuwepo kati ya lema na batilda, sidhani kama idadi ya waliokufa na kuhama inaweza kuwatosha kufidia tofauti ya kura watakayoipata.
Lakini ni vyema kuchukua tahadhari kwa mbinu yeyote chafu coz hata kura moja ni ya thamani kwa cdm, mbaya zaidi ni ambapo watatumia mbinu aliodokeza mdau hapo juu ya kuwapa fursa wapigaji kura wao mapema na kisha kuzalisha fujo ili kupata sababu ya kufunga zoezi la upigaji kura. Hili ndilo nalihofia kuiangamiza cdm kuliko nyingine yeyoye ile. Niwasihi viongozi cdm kulifanyia kazi jambo hili
 
ccm ni janga katika taifa letu...huu uhuni hauta vumilika, nawaasa viongoz wa chadema taifa walitilie swala hili maanani.
 
]
Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Katika vuguvugu la kuaga Miili ya wahanga wa mabomu kuna taarifa kuwa baadhi ya wajumbe wa CCM walikuwa tayari kujiunga CDM. Hebu hao wajumbe watumike vizuri pia kuleta ufanisi na kutoboa siri hizi zenye usiri katika maendeleo ya mtanzania yaliyowekwa kuwa siri kwa miaka kadhaa sasa.
Mungu aweke bayana wale wote wabaya wanaotaka kuvuruga amani kwa kuwasingizia wengine.
 
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!
kwa Arusha ccm ni namba tatu nyuma ya chadema na CUF,waliokuwa wanachama na wapenzi wa ccm wameamia CUF. hilo walijue
 
Kwenye TUME ya uchaguzi mwenyekiti wake hakuwahi kuwa HAKIMU?Kama alikuwa HAKIMU na utendaji wake ulikuwa uliotukuka leo akifanya haya haoni anajiaibisha.Naomba kusahihishwa kama fikra na mawazo yangu siyo sahihi.
 
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili:
1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana.
2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani.

Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani kabisa kwa,ba maofisa wa tume ya uchaguzi wameelekea jijini Arusha kwa lengo la kwenda kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kata nne zenye uchaguzi.

Maofisa hao ni pamoja na makarani wa kupiga picha na wajuzi wa IT. Imepangwa wafanye kazi hiyo hadi Jumanne tarehe 2/7/2013. Kama mpango wao huo ukifanikiwa Tume inaamini kwamba kwa kila kata kutakuwa na rekebisho la walau 38%. Hili rekebisho litakuwa kura za msingi za kuipa CCM ushindi kwa kata zote nne.

Nikiwa bado natafuta habari zaidi naomba nitoe kwa muhtasari maeneo yatakayorekebishwa.
1. Watu wote walioondoka Arusha ama kwa kufariki, kusafiri au kuhama mapengo yao yatazibwa na wapiga kura maalum watakaopewa shahada kwa ajili yao.
2. Wapiga kura wanaojulikana wazi kuwa wa CDM watafuatwa kwa malengo ya kuombwa wauze shahada zao, wengine zitaibiwa na wale wagumu kabisa watawekwa rumande siku za kuelekea uchaguzi mdogo.

Wakubwa serikalini na ndani ya CCM wanahitaji ushindi Arusha mjini kwa udi na uvumba hivyo kama wakigundua mbinu zao za ushindi zimegundulika ama kwamba zitagonga mwamba wataahirisha tena uchaguzi kwa kisingizio cha usalama.

Hadi sasa jeshi la polisi linapangwa kwa ajili ya kupelekwa Arusha kwa lengo la kusaidia utekelezaji wa mbinu hizi za kihuni za CCM kwa kisingizio cha kuimarisha usalama.

Stay tuned!!

Ndugu you have amazed me, ama wewe ni sheikh yahya aliyezaliwa upya, FBI, au Mchochezi. Ma kama kweli unauwezo wa kupata siri kubwa kama hiyo jee kwani humjui aliyetupa bomu na kwa nini mpaka leo hujamtaja. La sivyo wewe ni mchochezi mnafiki na adui mkubwa wa watanzania.
 
ccm ni janga katika taifa letu...huu uhuni hauta vumilika, nawaasa viongoz wa chadema taifa walitilie swala hili maanani.

ukisikia ule usemi wa " WAJINGA NDIO WALIOWAO" basi wewe ni mmoja wao, yaani umeshaamini uchochezi wa huyu mleta mada, bila kujiuliza itawezekan au la. Jee hizo amesema ni tetesi, Jee zina ukweli au ni porojo za chuki. Hebu tuwe makini na tusiwe watu wenye pupa
 
Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa hata wakiiba HAZITAWATOSHA kwa jinsi ccm ilivyo hoi ARUSHA
 
CCM wanaitaka arusha kwa uzima au mauti, kuna siri gani pale arusha mpaka hawa magamba wanakomaa hivi? inabidi ufanyike uchunguzi wa kina there must be a secret treasury in A TOWN.

.............................LAKINI NI HIVI CCM HAITAKIWI ARUSHA.
 
kwa Arusha ccm ni namba tatu nyuma ya chadema na CUF,waliokuwa wanachama na wapenzi wa ccm wameamia CUF. hilo walijue

HAYO MAGAMBA YALIYOHAMIA CUF NA KUPATA UONGOZI NDIYO YANAYOIANGAMIZA CUF KWA MAPENZI YAO YA ASILI CCM KUSHAMBULIA WAPINZANI WENZAO CHADEMA.NA SASA WANAWADANGANYA WAFUASI WAO YA KWAMBA CCM INACHEZA MCHEZO WAGAWANE KATA 2 KWA 2 CHADEMA HAWANA CHAO."Maajabu,laana,majanga".
 
kwa hiyo kwa akili yako wapiga kura wa chadema unawapeleka CUF, wewe kama ukiwa mkweli lazima uelewe, unachosemea wewe ni wizi wa kura lakini kwa hali halisi Chadema ndio washindi
 
ukisikia ule usemi wa " WAJINGA NDIO WALIOWAO" basi wewe ni mmoja wao, yaani umeshaamini uchochezi wa huyu mleta mada, bila kujiuliza itawezekan au la. Jee hizo amesema ni tetesi, Jee zina ukweli au ni porojo za chuki. Hebu tuwe makini na tusiwe watu wenye pupa

Ndugu you have amazed me, ama wewe ni sheikh yahya aliyezaliwa upya, FBI, au Mchochezi. Ma kama kweli unauwezo wa kupata siri kubwa kama hiyo jee kwani humjui aliyetupa bomu na kwa nini mpaka leo hujamtaja. La sivyo wewe ni mchochezi mnafiki na adui mkubwa wa watanzania.

Mkuu mbona hoja za woga?

Waliohusika na Bomu Soweto ni CCM kwa kutekelezwa na Polisi wakitumia silaha mpya toka china na kutoroshana kwa PT 1179. Bado una swali?
 
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.

Sasa kama hawataki za wazi na salama wanataka wananchi waingie msituni duh hii hali ya maugomvi mpaka lini
 
kwa hiyo kwa akili yako wapiga kura wa chadema unawapeleka CUF, wewe kama ukiwa mkweli lazima uelewe, unachosemea wewe ni wizi wa kura lakini kwa hali halisi Chadema ndio washindi

Hukunielewa tu ndugu,soma post yangu vzr,HILO LA WIZI WA KURA NDILO WANALOLITEGEMEA MAGAMBA NA CUF NA KWA KUJIFANYA HAWAUONI UPEPO UNAVYOVUMA wanadanganyana eti CHADEMA hawana chao.
 
Mmmmmh! Hakika hakuna siri chini ya jua hili jamani.

Update.......

Kwa muda huu nipo huku kijijini Wilaya ya Arusha vijijini kwa aliye naibu wa waziri wa ardhi nyumba maendeleo ya makazi Ndg Ole Medeye ambaye pia ni Mbunge wa wilaya hii.
Mambo yanayoendelea hapa ni makubwa sana na ni ya kuihujumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Wanachofanya ni kwamba kuna mkutano wa wazee wa mila maarufu kwa kuitwa Ilaigwana na sasa wanacholenga sana ni kuandaa mkutano mkubwa wa mila ya kukutana mwanzoni mwa mwezi huu wa saba na iiombe serikali isitishe mikutano yote ya mambo ya vyama hasa ya CDM na wanasema haiwezekani chama hiki kigeni kuja kutawala hapa A town na hata isababishe vifo.
Na hata hivyo majuzi tu wamekutana hapo ukumbi wa Korea uliopo Ngaramtoni ya juu post kabisa TPRI na mambo makubwa wanayolenga ni kuitaka serikali kuiondoa CDM ndani ya mambo ya vyama vya siasa.
Ninachojiuliza ni nini sana kinawakera wazee hawa?

Wanaendelea na mkutano wao ila hakika nitaleta feedback yote.

Ahsante kamanda mimi mwenyewe nipo kwenye jimbo hilo na karibu sana na huo ukumbi wa Wakorea ngoja na mimi nitafuatilia kwa karibu sana hilo kuanzia sasa.
 
wamechelewa sana kwa kweli kipindi hiki ukweli utajulikana,hakuna wa kudanganywa tena wasubiri waone
 
Wakumbuke Chadema daftari la mwaka 2010 tunalo yaani nikiona sura ya kima ambayo haipo kwenye daftari langu risasi zitaanzia kwenye kituo changu kudadedi.....

Yap, thats the spirit
 
Hivi kweli ccm inawezaje kushinda Arusha unajua TUME YA UCHAGUZI Toka waseme kuwa hali ya Arusha kiusalama ni tete wakati Kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas kila siku akihojiwa anasema hali ni swari na sisi wenyewe tunaliona hilo.

Kwasasa mimi siwezi kuwaanini tena tume ya uchaguzi na kwa kuwa pia mimi nilikuwa wakala na madaftari ya 2010 tunayo basi kazi yao haina tija tena
 
Back
Top Bottom