Daddies On Duties

Daddies On Duties

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
11903792_1146453638704957_2258535561047778676_n.jpg
 
Achana nae huyo, ndio hao wanaofikiri kulea mtoto ni kumtuma sigara dukani tu.

Mkuu huwa nafurahi sana ninapokuwa na mwanangu kwenye matembezi hata kumpeleka shule au kutembea nae popote pale na yeye mwenyewe anajihisi furaha sana anapokuwa nami sasa kusema hao ni bushoke sijui ameitoa wapi
 
Kuna picha hapa iliwekwa, baba anaogesha wanae na kicha cha habari kilikuwa 'BUSHOKE'. Mimi nilieleza msimamo wangu tofauti nikaambiwa ndio wale wale. Nikaacha tu kwakuwa sikutaka kubisha na wapumbavu.
 
Mkuu kama utakuwa bushoke kwa mwanao mwenyewe aise wacha niwe bushoke and nitafanya kila kitu kwa mwanangu maana ni mwanangu
lazima uwe proud kutembea nae na kufanya lolote kumlinda mwanao na kumfanya afurahi kuw ana baba kama wewe
 
Inapendeza sana.
Wanaume wengi hawajui tu, wanawake tunapenda sana wanaume wanaojali na kuwapenda watoto.
Ndio maana sio ajabu kukuta mama anavumilia maswahibu ya mumewe sababu ya kulinda mapenzi/furaha za watoto wao juu ya baba zao.
 
Kumpeleka mtoto wako kliniki ni lazima, kuna mambo muhimu unatakiwa uongee wewe na daktari kuhusu afya na maendeleo ya mtoto wako. Sasa we kama unafikiri kumpeleka mwanao kliniki ni kwa akina mama tu, basi wewe kichwa maji.

Wengine wanafkiri kuwa responsible ni kupay bills na mengine tu kumbe hata hayo pia ni majukumu tena mambo kama haya yanazidisha mapenzi baina ya baba na watoto
 
Back
Top Bottom