Johnson2012
Member
- Jan 27, 2012
- 93
- 11
maranyingi huwa najiuliza sipati jibu hivi mtu kuwa celebrity haswa akina dada ni lazima awe anavaa nguo zinazomuacha uchi? nguo fupi za kuiga mambo ya west hebu tuwaangalie hawa dada zetu waliopo kwenye sanaa ya filamu vile wanavaa full aibu tena ikifika wakati wa kupigwa picha ndo wanazidi kukaa uchi kama vile hajuwi itatoka gazetini its really shame!
its time to make changes ladies
its time to make changes ladies