Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu

watu wengine kwa kuforce attention, mashallah!
 
99 ni rahisi kuandika.

Hizo statistics za kupika au za tafiti? Kama za.tafiti basi tunaomba source. Kama sio basi ingekua bora unze post kwa kusema kua ni hisia zako na hazina base yoyote ya kisayansi.
 

Hahahaha embu nicheke kwanza. Ndio maana nikasema you are too young to understand this, una upeo mdogo wa kuunderstand.

Mtu akisema 99% maana yake sio wote, do you understand? Maana yake kuna 1% hawapo hivo.
Ila mtu akisema 100% ndio anamaanisha wote wapo hivo. Whats your problem?

So ebu toa mfano wa methods za kisayansi kwanza, kabla sijaendelea.


Kingine, je una uhakika kama dili la mujini analozungumzia huyo dada ni la pesa kiraisi, au na wewe unahisi na kupika pia?

Vile vile nilisha sema, 99% ya wazungu wapo hivo kutokana na my experince, na nilishasema is up to you kuamini or kutokuamini, mbona hauelewi wewe jamani, au unatatizo la dyslexia?

Kwa wewe mwenzangu hata ukiambiwa maziwa asilimia 99 meupe utadai statics na methods za kisayansi, zinazosema kama maziwa ni meupe. Na ukiambiwa mzungu asilimia 99 ni mweupe utadai statics na source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…