Ulipenda wazungu wangapi na weusi wangapi kabla ya kufikia generality kua wazungu wote ni kama huyo wako na weusi wote ni kinyume cha huyo wako?Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around
.......emancipate yourself from mental slavery...tatizo ndo hilo😡
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?
Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?
Najiuliza sana ni kwanini.
Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around it
....
Ndio maana mapenzi yakiisha na mzungu mmoja unaenda kutenga kupata mzungu mwingine...huwezi tena ishi na mswahili weye ni wazungu tu?
Ndio maana wakati mwingine inabidi uendee sehemu ambazo wanapatikana ili kuendeleza ule uzi wa kuwa na wazungu tu? kwa kuwa wanaume wa kiafrica ni wakatili? Dhana potofu kabisa hiii...anyway sio mbaya..ila nachojiuliza mpaka mkatege kwenye hotel kubwa kubwa na kupewa majina mabaya...ni kwa sababu zote hizo za ulizotoa hapo juu?
Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu ni wakweli.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo sio wa kweli.
kwaiyo nani ni bora kwake?
Asilimia 99 ya wanume wa kizungu upenda maendeleo ya mke wake.
Na asilimia 99 ya wanaume wa kibongo hawapendi maendeleo ya mke wake, sababu mke akiendelea anaogopa kukosa mamlaka na kummiliki.
Kwaiyo nani ni bora kwake?
Asilimia 99 ya wanaume wa kizungu hawana nyumba ndogo, na hawazai nje ya ndoa, hawatoi mali kwa hawara, hawadhamini hawara kuliko mke.
Asilimia 99 ya wanaume wa kibongo nyumba ndogo lazma iwepo kabla ya ndoa, kuzaa nje ndio kawaida hata na wanawake 3, atatoa mali hovyo na kukuacha mke uteseke, na atathamini hawara kuliko mkewe.
NANI NI BORA KWAKE?
Mwanamke wa kiafrika akijingiza kwa mzungu inakua ngumu kurudi kwenye matatizo kwa muafrika mwenzie.
Nikipata muda nitaongeza.
Hizo statistics za kupika au za tafiti? Kama za.tafiti basi tunaomba source. Kama sio basi ingekua bora unze post kwa kusema kua ni hisia zako na hazina base yoyote ya kisayansi.
Dada Mwali, hizi la kupakua sio za kupika.
Maana zilichemshwa na zikakorogwa na finally ni result ambayo ni kupakua.
Source ni kufanya utafiti mwenyewe, sababu hata za kuandikwa sio za kuamini asillimia 100.
Ila ukishuhudia ndio utamini.
So tafuta wazungu ili uhakikishe lisemwalo.
Samahani kama nimekukwaza
Hujanikwaza usijali, ndio uzuri wa jf kila mtu analeta mawazo yake (mengine tunaita mawazo kwa heshima tu maana mmhh...)
Siwezi kutafuta mzungu just kuthibitisha hisia za tafiti za kupikwa.
Mbona kuna mtu alisema humu kua kupenda mume wa mtu ndio dili ya mujini? Mi sikubaliani nae kwa hiyo nikajaribu?
Sasa tafiti za kazi gani kama kila kitu tujaribu wenyewe?
First Lawa ya wazungu .. Hawapendi wanawake vibonge....aisee niko hospitali nimelazwa,kuna mkaka mzungu sijawahi kumuona handsome kama yeye halafu mpoleeee sijui nitampataje mwenzenu i love him for real ila kuweka first move hilo ndio sitafanya kwa jinsi alivyo mzuri sidhani kama atakuwa hana galfriend
Hizo statistics za kupika au za tafiti? Kama za.tafiti basi tunaomba source. Kama sio basi ingekua bora unze post kwa kusema kua ni hisia zako na hazina base yoyote ya kisayansi.
Kama mtu kajaribu ndimu na kaona ni chungu, na akakuambia asilimia 99 ni chungu, is up 2u kujaribu ama kutojaribu.
Kama kaona mume wa mtu ni dili ya mujini, hiyo ni her experience, is up 2u kukubaliana nayo au kutokubaliana nayo.
Ila wale wanao ishi kwa ma dili ya mujini kama yake watamuelewa, na wale wanaotaka kuishi kwa madill ya mujini kama hayo watafunguka macho, na kujaribu kama ni kweli.
Kama mtu akikuambia YESU ni bwana, yeye kamuona ni bwana, is up 2u kukubaliana nae au kutokubaliana nae.
Hayo ya kupika is in your head,
Inaonesha you are too young, ngumu kuelewa mpaka upate experience ya maisha kwanza.
Haya ya JF mbona ni madogo sana. Anyway kama unaona JF haikufai ni bora kusepa bi dada, ili husipindishwe.
Samahani tena kwa hilo.
First Lawa ya wazungu .. Hawapendi wanawake vibonge....
Kwa hio hapo umenoa mama
Aseme tu "kwa experience yake ndimu ni chungu". Asiseme asilimia 99 ni chungu maana hakujaribu sample ya kutosha na hakutumia methods za kisayansiKama mtu kajaribu ndimu na kaona ni chungu, na akakuambia asilimia 99 ni chungu, is up 2u kujaribu ama kutojaribu.
huyu nae aseme "kwa wale wanao tafuta hela za raisi na wako tayari kufunga macho on their morals basi wajaribu waume za watu sababu KWA EXPERIENCE YAKE ameona dili hii inalipa. Sio afanye generality. And then watakao taka watajaribu based on these INFORMAL information. sio trusted source.Kama kaona mume wa mtu ni dili ya mujini, hiyo ni her experience, is up 2u kukubaliana nayo au kutokubaliana nayo. Ila wale wanao ishi kwa ma dili ya mujini kama yake watamuelewa, na wale wanaotaka kuishi kwa madill ya mujini kama hayo watafunguka macho, na kujaribu kama ni kweli.
Hapa unazungumzia gospel au injili. Kwa hiyo mtu wowote akija hapa JF under an anonymus pseudo na akasema wazungu ndio wanafaa, 99% ya watu weusi ni wasaliti sisi tumuamini kama tunavyo amini injili? think about what you have just said then nipe mwangaza maana naamini this is not what you meant...Kama mtu akikuambia YESU ni bwana, yeye kamuona ni bwana, is up 2u kukubaliana nae au kutokubaliana nae. Hayo ya kupika is in your head,
Kwanza unajuaje I am young? Do you know me? Pili kua young haimaanishi nitakubaliana na any unchecked data that people bring in here. 99% ni statistics toka wapi? kama kichwani mwake aseme ni kichwani mwake, otherwise ni upotoshaji mtupu!Inaonesha you are too young, ngumu kuelewa mpaka upate experience ya maisha kwanza.
hapa sijaelewa kabisa. Sijui ni lugha? Why do you think JF hainifai? Do you think I have such a weak character kwamba vivuli behind computers vinaweza kuni-influence na kunipindisha? Sijaelewa...Haya ya JF mbona ni madogo sana. Anyway kama unaona JF haikufai ni bora kusepa bi dada, ili husipindishwe.
Bila samahani. Unless kuna kitu kibaya unadhani umefanya?Samahani tena kwa hilo.
Kwani siruhusiwi kuku quote? Niweka kwenye ignore list... Otherwise .. Kusema nakutumia vocha it was like complimentary... So wewe umeichukua maana yake kama ilivyo.. Am sor.. Usije ukadhani kuw anna mpango wa kukutana na mdada wa JF .. I have bad experience. Im sorWe nimekuona siku hizi mbili tatu unavo niquote ni kama unna kitu unataka kusema ila unashindwa. Nitakuitia tena Rejao aje kukufundisha kusemaNani kakwambia Mwali ni wakukosa vocha? alaaa!
wapo wanaopenda ila sio wengi,
Naomba uni pm nikutumie vocha
Sijasema kuna ubaya ku-quote. but THE WAY YOU QUOTE.Kwani siruhusiwi kuku quote? Niweka kwenye ignore list... Otherwise .. Kusema nakutumia vocha it was like complimentary... So wewe umeichukua maana yake kama ilivyo.. Am sor.. Usije ukadhani kuw anna mpango wa kukutana na mdada wa JF .. I have bad experience. Im sor
The way to talk to me without respect i can imagine how you luk likeSijasema kuna ubaya ku-quote. but THE WAY YOU QUOTE.
Pia siijasema kua unataka kukutana nami, nimesemea wapi?
Hiyo compliment ya voucher sijaiperceive hivyo, so I won't thank you...
Na kama nimekutafsiri vibaya basi ignore my previous post.
i love you too Black Bat:smile-big: