Labda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
Labda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
sikila bidada kuolewa na mzungu ni kwamba ni preference just like wengine wanapenda light skinned gals wengine demu black beauty. sasa basi kuna kitu kimoja lazima ujue. lifestyle za wazungu zipo tofauti sasa to some ina appeal sana. kwa mfano mie mwenyewe i tend to gel well na life style ya kizungu ...i feel wazungu majority wapo honest open minded. once ukisha kuwa katika mazingira hayo ni ngumu sana kudeal na uswahili wetu sie bwana.
Vipi Kuhusu wamaume wa kiswahili kama kuwa isolate wadada wanao date wazungu hata kama kashaachana nae...?
Hujaona hili!!
Uzuri wa mtu hauko nyuma ya sketi bali ni jinsi awezavyo kuyatatua mambo kwa hekima alizopewa na mwenyezi Mungu.
He he he he he
Nacheka mengi ujue?
Ukitaka kujua utamu wa vibabu vya kizungu nenda swimming pool, vinatongoza hadi vinajizamisha.
:wink::wink: Usinikumbushe....Kazee Kamoja Kalizama Dubwi kwenye bwana la kuogelea pande za Znz...Wakati flan nachekaja mpaka leo nikikukumba.
Ila nini wale wazee na vijana wa kuzungu huwafanya dada zetu kuweweseka na kuwatafuta mara wakishaanza nao? Dah kimenisukuma kuona kasumba hii dada mmoja wa chuo anasema anatafuta wazungu...uku tabora..hataki ku date mswahili...na amedhamilia anakwenda kunywa pande hizo.
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?
Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?
Najiuliza sana ni kwanini.
Mzungu I'm the boss ,I come first na he does what I say and wanakupenda mpaka unajiuliza hivi alikuwa wapi huyu siku zote nachakalika na mapenzi ya Shuka Za 200 thread counts na machandarua na zawadi Za kijinga .Hapa sipiki,sioshi nguo,jikoni mume wangu anatupikia na wanangu..ukipika mume wangu ananiambia honey your my wife I will cook for you.suprise Za hapa na pale kununuliwa nyumba gari ni vitu vya kawaida tu .Chumvini usiseme mchochomeo ukifuata hapo .And they mean it.Waafrika most of them very hard looking na Sheria kibao Hawako romantic .wanakurukia chumbani Kama Chura walevi na vifua vyao Kama Kama plastic .waist line too much problem kwa Waafrika yaani uwii kitumbo hapo hapo .wanaume wakiafrica wanaota kwa Sauti that is very scary jamani. Wakitafuna wakiafrika wanatafuna kwa Sauti .some African men macho yao mekundu I don't know why ,.Some are very hard looking and I just can't wrap my head around itLabda tukipata Dada aliyewahi kuwa na mzungu aje atoe ushuhuda lakini kwa mtazamo wangu naona ni kuwa labda ni ule utofauti wa lifestyle za wazungu na sie waswahili dada atazoea aina fulani ya maisha na itamuwia vigumu kuishi na mswahili
He he he he he
Nacheka mengi ujue?
Ukitaka kujua utamu wa vibabu vya kizungu nenda swimming pool, vinatongoza hadi vinajizamisha.