Dada Zetu na Lift | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada Zetu na Lift

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bramo, Aug 25, 2012.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
  Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwani hao uliowapa lift wapo humu mpaka unasema wasikubishie? Kwanza wewe unawapigia story za nini kama hupendi wapande lift yako?
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mimi nimeshawapa lift hata wanaume sio kina Dada pekee. Sidhani kama kuna tatizo hapo
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Na baada ya kuwapa lift? Hebu malizia stori bana. Najua watabisha lakini huo ndio ukweli halisi
   
 5. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Sasa wewe unatoa lift huku roho inauma au?
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

  Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Mshiki hebu soma vizuri hapo kwa red

  Kifupi ukipewa lift na usiyemjua afu ukakubali.......... iwe Yaeda, Ngaramtoni, Machame, Kinondoni au Mwanza.... Kishaliwa huyo!

  Ni sawa na mhudumu wa Bar anapompa mlevi namba yake ya simu, ujue kishakubali kumvulia pichu.
   
 9. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanawake wanapenda sana vitu vya bure!!!!!!!yuko tayari "atafunwa" kwa kununuliwa lunch, kwa hili la lift ndio kabisaaaaaaaa...wengi hujikuta wameshaliwa bila kutongozwa!
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,795
  Trophy Points: 280
  Mkuu unalazimisha wasibishe wakati hujawapa lift wanawake wote watz!
  Hebu wape nafasi watoe maoni yao!


   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mbona tunawapa lift na hatuwasimangi...
   
 12. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata wanaume wapo wengi tu wapendao vitu vya bure, mbona hatuwasimangi na kuwadharau? Hebu acheni kudharau wanawake. Kuna wanaume ambao kila kitu kibaya kwao kinafanywa na mwanamke! Acheni hizoo!
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo, ulikuwa unasimamisha gari na kutoa macheno kadhaa ili wakatae???

  Uba.zazi jamani ni mzigo, ni sawa na kuoa afu unamchenga mkeo
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Na nikinunua gari mtanikoma
  Nitakuwa kama Vampire, nawapa lift, nawanyonya damu afu siwali

  Ndio mtakapojibeba.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Hujakatazwa kuwaita wanaume masarawale.

  Hujakatazwa kuwadharau. Hebu watupiemo neno moja la zarau nikupigie makofi...

  Usimchenge mchezo? Yani umuache tu akufumanie wakati unaingia gesht haush?
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ndio anachofanya huyu mwenzenu, anasimamisha gari ili wakate kupanda.

  Yaani vivulana vya miaka 35 vinaudhi

   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu, leo tunawajadili kina dada. Kikishaeleweka, mtoa mada ataanzisha ya kina kaka. Asipoanzisha ntaanzisha mimi.

  Afu Kongosho and co. Msisahau hii sredi inawahusu kina dada, siyo WANAWAKE. Ni kama vile ilivyo tofauti kati ya wavulana na WANAUME. Haya punguzeni munkari tuendelee kuchangia hoja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ujue nilisahau.

  Ngoja niende chit chat nikatoe munkari, kumbe mie Bi. kidude

   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Afu leo Jumangapi? Hizi bia unataka nizimalize peke yangu?

  Niko Zero Pub hapa.
   
 20. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sa unatakaje!wakatae au!
   
Loading...