Dada Zetu na Lift

Ngoja siku uamkie ICU, ndo utaja kuona utamu wa kuwapeleka wenzio ICU. Ushakula drip za kisogo wewe?
 
sasa wewe ulikuwa hujui kuwa gari ndio kisu cha kunchinjia mwanamke? ndio maana vijana siku hizi wakipata kazi wanachukuwa mikopo na kununua gari ili waweze kudadavua mademu kwa wingi.
 
Bramo inaelekea we pia huwa unapenda kutoa lifti..maana kitu gani kinakupeleka na kuanza kumpigisha story huyo mdada? Au na wewe ni wale macho juu juu?
Wenzio pia tuna magari lakini kanuni ni kwamba,mtu kama sikujui No kupanda..
Utabakia kutoa macho tu,labda uwe na mtu ninayemjua.
 
Kwa hiyo, ulikuwa unasimamisha gari na kutoa macheno kadhaa ili wakatae???

Uba.zazi jamani ni mzigo, ni sawa na kuoa afu unamchenga mkeo[/QUOTE]
hapo kwenye blue,,,,UNAMCHENGA ina maana zaid ya 1,wewe umekusudia ipi,na kama unadhan ina maana 1 fafanua hiyohiyo,
kwangu mimi una mchenga ina maana una-make love na mkeo,pia una mchenga ndo vile unamkwepa,maana ya 1 ni rejesta,ya 2 ni maana rasmi
 
sasa wewe ulikuwa hujui kuwa gari ndio kisu cha kunchinjia mwanamke? ndio maana vijana siku hizi wakipata kazi wanachukuwa mikopo na kununua gari ili waweze kudadavua mademu kwa wingi.

jamani,wengine hatuna hayo magari na tunawanasa,,,,ingawa gari ni simba wa kizungu,ila perepete mdomon ndo Kitu
 
Last edited by a moderator:
Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!

Nakubaliana na wewe 100%! Gari ni uchawi wa kizungu ukiwa na gari usipotulizana unaweza ukaondoka na drum!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha aisee Preta umenikumbusha mbali sana lol......mie pia nashangaa wakisema wadada wanapenda lift khaaa.....ni mwendawazimu peke ake ndie anaweza kukubali lift ya mtu asiyemjua......waje Yaeda kweli waone vile wadada ukijifanya tu kusimamisha gari wanavyotoka mbio lol......huko wanakokubali hakuna wafuga kobe ndio maana!
jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......
 
Last edited by a moderator:
Hata uje na matarumbeta sipandi ng'oooo acha mbali kupigisha story hao hao uliowakamata ndio wapenda lifti.
 
Kwani wewe Le profesari????

unaulizia aiskrimu kwa mkata nyasi???

hapo kwenye blue,,,,UNAMCHENGA ina maana zaid ya 1,wewe umekusudia ipi,na kama unadhan ina maana 1 fafanua hiyohiyo,
kwangu mimi una mchenga ina maana una-make love na mkeo,pia una mchenga ndo vile unamkwepa,maana ya 1 ni rejesta,ya 2 ni maana rasmi
 
Kama nimemuelewa vizuri mtoa hoja,alikuwa anataka kutujulisha kuwa anamiliki Gari.Hongera sana mkuu kwa kuwa na gari.
 
Na baada ya kuwapa lift? Hebu malizia stori bana. Najua watabisha lakini huo ndio ukweli halisi
Yaan baada ya kuwapa lift inakuwaga ni tayar washajielekezea Kibra tayar kuchinjwa, Yani mie hata sijui nini hasa is so special....
 
Mimi nimeshawapa lift hata wanaume sio kina Dada pekee. Sidhani kama kuna tatizo hapo
We mwanaume unaanza vp kumpa lift mwanaume mwenzio unless kakuomba, otherwise utakuwa na lako Jambo wewe...
 
Kwani hao uliowapa lift wapo humu mpaka unasema wasikubishie? Kwanza wewe unawapigia story za nini kama hupendi wapande lift yako?
Hahaha mwaJ , najua wawakilishi wao hawakosekan humu ndani, kuhusu kuwapigisha Story, wanaume ndivyo tulivyoumbwa Dadaaangu.

PS, Home kwangu kuna mdada kaja anaenda kwa jina lako, usiulize ni nan na anafanya,mapishi yake mazuri mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom