Raha ndogo ndogo hizo za sie maskini...wanaotembelea tako hawawezi enjoy mambo ya kubambia msambwandazLeo nilikuwa naenda town bahati mbaya gari nililosimamisha lilikuwa limejaa. Sasa bhn kuna mdada mwenye makebo makubwa akawa amesimama mbele yangu gari likaondoka ee bhn ya Mungu mengi huyu dada akawa amegusisha kwenye mshedede wangu kwaiyo gari likipiga inertia naye anazidi kuchezesha makebo kwenye mkuyenge wangu aisee niliboeka daah!! Hivi mnashindwa kustahimili mpaka mtulalie jamani
PLAY SAFE BE POSITIVE
Hawa ndo BFF zako?
Duuh! Kweli bao nene si chuma chembambaNyege zako Tu!
Bila kuona picha huu uzi bado ni batili
Anazingua bana!Yani mwana kalalamika kiroho safi kabisa, kwa kiasi, bila maneno ya kashfa, halafu mnamnanga bado?
Sio poa hivyo mjue 😂
Naiba serikali iwatoze wanawake wenye makebo makubwa kupindukia.
Unathibitishaje anazingua na hajalalamika kiroho safi tu?Anazingua bana!
Daladala ina watu wengi muda wote wako macho ni ngumu mtu kufanya hivi labda ilikuwa coincidenceUnathibitishaje anazingua na hajalalamika kiroho safi tu?
Mimi ninavyojua daladala huwa zina mbanano sana! Kuna siku niliishia kuguswa guswa kwa nyuma na kijana! Wanataka wao bwana!Wewe uzoefu wako kwenye suala hili ukoje?
Sasa jibu lako mbona kama lina contradiction?Daladala ina watu wengi muda wote wako macho ni ngumu mtu kufanya hivi labda ilikuwa coincidence
Mimi ninavyojua daladala huwa zina mbanano sana! Kuna siku niliishia kuguswa guswa kwa nyuma na kijana! Wanataka wao bwana!
Mwanamke kufanya hivi ni ngumu sana! Labda kama alikutana na shindikanaa!Sasa jibu lako mbona kama lina contradiction?
Unasema daladala ina watu wengi ni ngumu kutikea, halafu kuna siku uliguswaguswa kwa nyuma na kijana.
Sasa hapo huoni kuwa hata kwa huyu mwenzetu kuna uwezekano kawekewa "nyash" mpaka kaleta malalamiko Umoja wa Mataifa ya JF huku?
Tulikuwa tumebanana sikuweza kusogea, nilikuwa nasubiri kupata uhakika kama ni coincidence au anafanya kusudi ili nimlipue! Nilipogundua tu ni makusudi nimlipue, naye akashuka! Ila ningemkomesha!Sasa ulipoguswaguswa na kijana ulifanyaje, ulimsogezea, ulimtazama, ulisogea mbali naye, ulimkaripia, au ulimpa namba kabisa?
Dah,Mwanamke kufanya hivi ni ngumu sana! Labda kama alikutana na shindikanaa!
Tulikuwa tumebanana sikuwez kusogea, nilikuwa nasubiri kupata uhakika kama ni coincidence au anafanya kusudi ili nimlipue! Nilipogundua tu ni makusudi nimlipue, naye akashuka! Ila ningemkomesha!