Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

Tutafanyaje sasa ndo utandawazi wenyewe unavyotupeleka but tumekuelewa tutarekebisha
 
Ndo usasa, akivaa hivyo mke wa mtu, hapo ndio sio sawa, lakini hao wengi, ni halali yao!, asipovaa vile wewe utajuaje?, ukiona hivyo ujue ndio mwaliko wenyewe, sio kila kitu mpaka uambiwe!. Tena si ni afadhali hao wamezivaa hadi unayaona mapito yake, jee ukikutana na hawa wanaovaa vi skin ndani wana g-string, hivyo unaona kama hawajavaa kitu huku manyonyo yamebinuliwa nje kama madodo bivu?!, ungesemaje?!.

Huu ndio usasa wenyewe, tukizidi kuendelea, watazivua kabisa!. Mara yangu ya kwanza kufiki Rome ilikuwa ni summer time, mbona macho yalishiba!, ingekuwa mtu unanenepa kwa kula kwa macho, ningepasuka!.
P.

Mkuu, unaweza pata obesity kwa kuangalia vitu vizuri, hatari sana....
 
Ujumbe Ungewapelekea Wengine Huko Mtaani Kwenu, Humu Tuna Wadada Wazuri Wanaojielewa Na Kuficha Hazala Za Miili Ya Laini Hisiyo Isha Hamu Ya Kutazama, Miili Yenye Upekee Ung'aao Kiasiri Zaidi Na Mvuto..
Wala Hayajui Hayo!

Wanajielewa umewaona?
 
Tutafanyaje sasa ndo utandawazi wenyewe unavyotupeleka but tumekuelewa tutarekebisha

Utandawazi wa wapi umekupeleka huko kama sio mnafanya makusudi tu, afu msipoolewa mnalaumu kuna watu wanakalia nyota zenu kumbe mnajijengea wenyewe mazingira ya kutoolewa!?
 
Nawapenda sana wakionyesha mstari wa mataako.daa napenda kale kamstari
 
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.

We jinsia gani mbona haueleweki yaani mwanaume mwenzio anakupa tabu...hebu jiangalie wewe.
 
Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndani ambayo ina ukubwa kiasi gani hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nyigine hata rangi zake huwa zinaonekana.

Ndo kututega au?

Mjini shule. Wewe hupendi ila kuna wenzako hapa hapa mjini hawana kazi, wao huwai kuamka asubuhi na kuwahi vituo vya dala dala kuangalia kina dada wamevaa nini kwa ile siku kisha huwai nyumbani na kujifungia bafuni kwa starehe zao. Yaani wao hula tenda ya kukaa stendi na kuangalia kina dada wamevaa nini.
 
We jinsia gani mbona haueleweki yaani mwanaume mwenzio anakupa tabu...hebu jiangalie wewe.

Huwa na changanikiwa sana, yani basi tuu, yani nikiona kifua wazi kilicho umbika , na kime loa majasho uwwiii natamani hata ni mhonge ,halafu sijuikwanini walio na vifua wengi waoga ukiwasalimia , mambo?
 
wewe ni mwanaume mwanamke au "non of the above"
 
Na vile vile nyie wanaume wenzangu mnao kaa vifua wazi, huku mkionyesha mikono , vifua , na six packs na wengine mkiwa mmevaa bukta tukiona mapaja yame nona kwa misuli, hamjui mnatutesa sana na sisi wengine? na nyie Masharobaro, mnao vaa vibody na tight jeans huku mkiwa warefu wembamba, jamani pia matutendei haki sisi pia , mna tupa wakati mgumu sana.

Mbona nasikia wanawake hutamani kwa hisia na siyo kuona kama wanaume?
 
Mbona nasikia wanawake hutamani kwa hisia na siyo kuona kama wanaume?

Wanawake wazamani ndio walitamani kwa hisia hawa wa sasa ni specie nyingine kabisa wanatamani kwa kuona na ndio maana wengi huwa wanaangalia vidole na mengineo. So kama ulidanganywa kuhusu wanawake siku hizi wako tofauti kabisa.
Nimeishi mda mrefu nimeona mabadiliko makubwa sana kwa wanawake kuna ambao wamenishangaza analaa leo na huyu na anatupa kule na wala halijali sasa najiuliza hivi tuliambiwa wanawake wanapenda kwa kutoka moyoni hawa wa sasa ni tofauti my dear tutaona mengi zaidi so usishangae na hizo theory za zamani zifuute kabisa!
 
Hebu nijuze hiyo sayansi ya vidole inakuwaje? Na kwa kuwa nyinyi hamtongozi inakuwaje unapopata yule unayempenda?
 
Back
Top Bottom