Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,469
- 34,503
Shaka ondoaapo sawa nimezoea kujaza nzi mie
Akipendacho binti, mwanaume atanunua
Shaka ondoaapo sawa nimezoea kujaza nzi mie
Unashangaa nni mkuu ?msosi kwa bachelor?..
Anakuwa ame graduate!Huyo siyo bachelor ni spinster.
Bachelor unakaaje na vitunguu na manyanya ndani ?
Unaleta michongo ya O-Ten leo? Sahivi utawala wa Kambale...mkubwa ndevu mtoto ndevu!Shaka ondoa
Akipendacho binti, mwanaume atanunua
Fifte fifte au sio ?Unaleta michongo ya O-Ten leo? Sahivi utawala wa Kambale...mkubwa ndevu mtoto ndevu!
Namna hio, mtoto anakuja mtume dagaa mchele mix chachandu hivi, Dongo atalikuta chemba squad!Fifte fifte au sio ?
Namna hio, mtoto anakuja mtume dagaa mchele mix chachandu hivi, Dongo atalikuta chemba squad!

Nakufuata popote ulipo
ngumu hio lazma useme
unanonekana umeshapigwa miti na mabachela sio poa
wakifika wanaangalia kama jamaa anafaa kuombwa hela au asamehewe tu....

we jamaa umenifanya nicheke Kama mweshimiwa wakati Niko kwenye daladala ngoja wanikamate.Kwa bachelor hata panya aishi anakufa kwa njaa.kusafi? msosi upo?
mkuuuu na mimi kanisema aiseeeeeUmenisema kama nilivyo isipokua badala ya mafimbo na matairi mabovu mimi nina nondo na neti sina.
Na sawa na kumkuta paka garage. Atakula oil?msosi kwa bachelor?..
Kwa bachelor hata panya aishi anakufa kwa njaa.
Kinondoni ya Mwananyamala hiyo. 😂😂😂😂hadi mabachelor wa kinondoni?
Amesema 'dada zetu' au mimi nimesoma vibayaKakaako tena, gheto la baharia chapa kazikakaako lazma atakuwa anaishi kwake tu!
Umeuliza kaka? Soma comment yako upya.😁