Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
- Thread starter
- #21
ndo tutaanzia hapo
Kama kichafu ndo ufanye usafi sasa
ndo tutaanzia hapo
msosi kwa bachelor?..kusafi? msosi upo?
msosi kwa bachelor?..
Aisee naomba mkuu nifute hyo kauli
Ndo mfike mpike pia..kuna mabachelor wanajipenda ndani kwake mazaga yote yapo
Ndo mfike mpike pia..
Ndo mfike mpike pia..
Chumba cha mwanaume kitakuonyesha picha kamili ya hicho kidume. Kinajitambua? mwanamume anayejitambua yuko systematic... mpangilio wa chumba, hali ya usafi, vitu vilivyomo chumbani. Hapa sio lazima ukute mativii, mameza sijui manini ya thamani... hapa unaangalia vitu vya mtu ajijuae, sio unakuta kuna matairi mabovu, kuna machupa ya maji yaliyotumika, makopo, mafimbo, kumejaa makaratasi ovyo ovyo, dirishani ndio dressing table, miswaki imesambaa kila mahali, neti toka ichomekwe haiujawai tolewa, masoksi machafuuu, uvundo chumba kizim!.
Ukiona kuna dalili kwamba usafi umefanyika siku ya kuja mgeni ujue huyo sio....
ongezeeni vingine.....
True,incase huyo ni mtu wako,mjitahidi mpike..ingawa kupika itategemea na kilichokupeleka
Huyo siyo bachelor ni spinster.kuna mabachelor wanajipenda ndani kwake mazaga yote yapo
True,incase huyo ni mtu wako,mjitahidi mpike..
Huyo siyo bachelor ni spinster.
Bachelor unakaaje na vitunguu na manyanya ndani ?
Huyo hawezi kuwa kwenye category ya bachelor aiseehahaha jamani bachelor ana friji limejaa vitu vya kupika
Huyo siyo bachelor ni spinster.
Bachelor unakaaje na vitunguu na manyanya ndani ?
kuna mazungumzo hayahitaji kula
Kuna mdada alikuja kwangu nilipoenda dukan kurud nakuta anachungulia uvunguni dahh sijui alikuwa anashangaa nn




Kwahiyo fridge litakuwa kwanje ?Unatia kwa fridge