Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Sasa kama mtoa mada hakumaanisha hivyo kwa nini umefikiria mimi nimemaanisha hivyo?Hahahah sarcastically hakumaanisha hivyo! Wewe umri wako ni above 28 years.
Sasa kama mtoa mada hakumaanisha hivyo kwa nini umefikiria mimi nimemaanisha hivyo?Hahahah sarcastically hakumaanisha hivyo! Wewe umri wako ni above 28 years.
Kunywa chai kwanza kisha ndio tutaelewana. Halafu kilevi ulichotumia jana usije ukatumia tena!Sasa kama mtoa mada hakumaanisha hivyo kwa nini umefikiria mimi nimemaanisha hivyo?
🤣🤣🤣 Sijatumia chochote sema we ulitaka kunizingua na mimi nimegoma kuzingulikaKunywa chai kwanza kisha ndio tutaelewana. Halafu kilevi ulichotumia jana usije ukatumia tena!