kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,686
Kama ni kuchafu je?kusafi? msosi upo?
Kama ni kuchafu je?kusafi? msosi upo?
Yapi hayo
Kama ni kuchafu je?
Dahdem akija geto weka hela mezan, misimbazi kadhaa ikikaa hapo mezani haangalii uvunguni wala vitu vyako umeseti vip.. atakua amekodoa mezani hata story hasikilizi...utasikia "baby i like your table" mwambie waoow ibebe uende




ukienda kuchukua hela ghetto chakula cha nini sasa

ukienda kuchukua hela ghetto chakula cha nini sasa
dem akija geto weka hela mezan, misimbazi kadhaa ikikaa hapo mezani haangalii uvunguni wala vitu vyako umeseti vip.. atakua amekodoa mezani hata story hasikilizi...utasikia "baby i like your table" mwambie waoow ibebe uende



😀😀Chumba cha mwanaume kitakuonyesha picha kamili ya hicho kidume. Kinajitambua? mwanamume anayejitambua yuko systematic... mpangilio wa chumba, hali ya usafi, vitu vilivyomo chumbani. Hapa sio lazima ukute mativii, mameza sijui manini ya thamani... hapa unaangalia vitu vya mtu ajijuae, sio unakuta kuna matairi mabovu, kuna machupa ya maji yaliyotumika, makopo, mafimbo, kumejaa makaratasi ovyo ovyo, dirishani ndio dressing table, miswaki imesambaa kila mahali, neti toka ichomekwe haiujawai tolewa, masoksi machafuuu, uvundo chumba kizim!.
Ukiona kuna dalili kwamba usafi umefanyika siku ya kuja mgeni ujue huyo sio....
ongezeeni vingine.....
Ukija gheto lazma ulambwe pesa hta kwa simu zinatumwa
Siku moja Pretty uje unipikie eti.kuna mabachelor wanajipenda ndani kwake mazaga yote yapo
Kwenu au kwako hakuna vyakula ?kusafi? msosi upo?
Aiseeeeeeh mnakutana na mengi sana kwenye mageto ya wanaChumba cha mwanaume kitakuonyesha picha kamili ya hicho kidume. Kinajitambua? mwanamume anayejitambua yuko systematic... mpangilio wa chumba, hali ya usafi, vitu vilivyomo chumbani. Hapa sio lazima ukute mativii, mameza sijui manini ya thamani... hapa unaangalia vitu vya mtu ajijuae, sio unakuta kuna matairi mabovu, kuna machupa ya maji yaliyotumika, makopo, mafimbo, kumejaa makaratasi ovyo ovyo, dirishani ndio dressing table, miswaki imesambaa kila mahali, neti toka ichomekwe haiujawai tolewa, masoksi machafuuu, uvundo chumba kizim!.
Ukiona kuna dalili kwamba usafi umefanyika siku ya kuja mgeni ujue huyo sio....
ongezeeni vingine.....
Kumbe kuwa na msosi ndani ni kujipendakuna mabachelor wanajipenda ndani kwake mazaga yote yapo
Bachelor ni meHuyo siyo bachelor ni spinster.
Bachelor unakaaje na vitunguu na manyanya ndani ?
Kwani mimi nimezungumzia ubora ?Bachelor ni me
Spinster ni ke
Kutokaa na vitunguu au nyanya hakukufanyi uwe bora
Siku moja Pretty uje unipikie eti.
Kumbe kuwa na msosi ndani ni kujipenda
Kwenu au kwako hakuna vyakula ?