Mimi nasafisha siku moja kabla hujafika.Vitu kama vimedandiwa na vumbi
Yan kama we ni mvivu wa kufanya usafi na ukija kusafisha muda mgeni anakuja, hakii kuna vielements vya vumbi vitakuumbua..
Mimi nasafisha siku moja kabla hujafika.Vitu kama vimedandiwa na vumbi
Yan kama we ni mvivu wa kufanya usafi na ukija kusafisha muda mgeni anakuja, hakii kuna vielements vya vumbi vitakuumbua..
Basi mimi ka mini fridge kangu kamejaa savannah , kilimanjaro na safar za kutosha. Sijui nacho ni chakulandio
Uwe unakuja huku Tegeta siku moja moja tule wotehakuna
Vitu kama vimedandiwa na vumbi
Yan kama we ni mvivu wa kufanya usafi na ukija kusafisha muda mgeni anakuja, hakii kuna vielements vya vumbi vitakuumbua..
Uwe unakuja huku Tegeta siku moja moja tule wote
Basi mimi ka mini fridge kangu kamejaa savannah , kilimanjaro na safar za kutosha. Sijui nacho ni chakula
🤣🤣🤣 hio ya usafi ukishasema unakuja ni mausafi ya hela yote yanafanyikaga! Ukitimba ni full maunyunyu.kusafi? msosi upo?
🤣🤣🤣 hio ya usafi ukishasema unakuja ni mausafi ya hela yote yanafanyikaga! Ukitimba ni full maunyunyu.
Karibu mzee mama upige vyombo. Ukitaka kujaza nzi , soda na juice zipoaiseee[emoji23][emoji23]
Nakufuata popote ulipombali
Wewe si umeoa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio ya usafi ukishasema unakuja ni mausafi ya hela yote yanafanyikaga! Ukitimba ni full maunyunyu.
Lini???😁😁😁Wewe si umeoa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
nikija kwa suprise je?
Kipindi kile kabla corona haijatia nanga nchiniLini???[emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu mzee mama upige vyombo. Ukitaka kujaza nzi , soda na juice zipo
unanonekana umeshapigwa miti na mabachela sio poakuna mabachelor wanajipenda ndani kwake mazaga yote yapo
Hahahah umenifananisha mkuuKipindi kile kabla corona haijatia nanga nchini
Kakaako tena, gheto la baharia chapa kazi 🤣🤣🤣 kakaako lazma atakuwa anaishi kwake tu!
Watoto wa sikuhiz mende, we andaa mazaga zaga tu ukimbwela mtoto atatoa Dongo!msosi kwa bachelor?..