Dada zetu mkifika “magetoni”

Dada zetu mkifika “magetoni”

Kwataarifa yako wanawake wanapenda wanaume wachafu ili wawabadilishe na hivyo wanajivunia mchango wao katka kukubadilisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio rahisi ila nime assume kama watakuwa na umri wa kukuzidi ww
Mimi mwenyewe unajua nina umri gani? Halafu mtoa mada aliposema 'dada zetu' alimaanisha ndugu zake wa kike ambao ni wakubwa kuliko yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] panya lazima awerafiki yako lazima uwenaunga, mchele na vitu vya kutafuna tafuna mkate lazima panya aishi na ww.

Hahahaa mkate unakaa kwa fridge, mchele unga kwa buckets[emoji23]
 
Back
Top Bottom