Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Ni upendeleo wao binafsi, nadhani wazee huwa wana care zaidi sisi young men we r a bit rough so kudos to wababu :lol::lol:
Anyway I guess your right...
yaani niko tayari ku sapport mtu malaya kuliko mtu mwenye "Madharau" ya hali ya juu..
mtu ambae anatukana waafrica wenzake walio njee.. sababu tu anajiona yeye bora.. Labda niliingia kwenye hiyo blog siku mbaya
na sjarudi tena.. ..
anyway blog ya Lizzy hii hapa..
alitolewa hata kwenye MIchuzi blogsport..
WWW.MALKIASUN.BLOGSPOT.com
Ni upendeleo wao binafsi, nadhani wazee huwa wana care zaidi sisi young men we r a bit rough so kudos to wababu :lol::lol:
Huyo Mange mpotezee,ndo wale ambao hata aende shule ya wapi anaongozwa na tumbo lake.
I love and admire Lizzy even more...i love her blog and its another place to hang out...thanks dearest...!!
No probs..
yaani hapa nilipo nime duwaaa..
I hope umeona hii..
Breaking News: Regia Mtema is No More! Jukwaa la siasa
I'm speechless.. I can't believe this..
List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa:Hivi sababu ni nini?
- Jacqline Vs Reginald M
- Rita Paulsen Vs Reginald M
- Mwanvita Makamba Vs............
- ..........................................
- ............................................
- .......................................... etc etc
Are you serious>? Yaani hujui sababu ni nini? Hujiulizi kwanini hao Mamiss hawatoki na vibabu vya Mbagala Kibonde Maji au Vigwaza kwa Zoka? PESA baba PESA. Mwanaume pesa, ndevu hata mbuzi anazo! Kalagha baho!

hahahahahahahah lol... tell you what Lizzy (yap DOTO) has a better I mean way better blog than Manges..
Marrying to a white man.. WTF?? anyway I hardly go in her blog.. Full of crap to be honest..
​kipenda roho
Vinajua kulea
Afu hamna mikiki mikiki
List ni ndefu kama kuna mwenye data anaweza mwanga hapa:Hivi sababu ni nini?
- Jacqline Vs Reginald M
- Rita Paulsen Vs Reginald M
- Mwanvita Makamba Vs............
- ..........................................
- ............................................
- .......................................... etc etc
there is more to this than we are prepared to admit - vibabu vyenye fwedha vinahitajiwa for the obvious purpose ya kukidhi material needs ya wahusika; admittedly, however, yapo mahitaji mengine muhimu ambayo yako nje ya uwezo wa vibabu (sexual gratification etc)... so as a practical necessity, baadhi ya dadaz wanaamua kuwa na kijana pembeni ili ku-address hiyo shortcoming