Dada zetu kubalini kuambiwa ukweli

Kiukweli yale mafuta huwaga yana harufu kali sana yakuchefua, pole ila nawe si ungekausha tu mwili wake mwenyewe mwache aubadilishe atakavyo.
 
Mleta mada hongera sana kwa kuwa mkweli, hakika pamoja na kwamba amechukia ila kuna mwimbaji katika wimbo anasema message imekuwa RICHABO....HAKIKA WANABOA INGAWA NAJUA WASHIRIKA WATAMWAGA POVU HAPA, WAKIMWAGA POVU DEKIA ROOM MKUU. Ukweli lazima usemwe.
 
Huyo dada atajisikia vibaya wiki nzima, umemharibia sana siku yake. Wanawake hawapendi sana umkosoe kosoe kwenye masuala yanayohusu mwili wake. Jifunze kuwa gentleman badala ya ku focus kwenye vitu vinavyo kukera focus kwenye vinavyokuvutia hata kama ni vichache, kisha umsifie kwenye hivyo vitu.
Huo si utakuwa ni unafiki Mkuu?

Bora umwambie ukweli hata kama atachukia ila ukweli umemuingia.
 
Dah umemwaribia siku bidada lakin ukwel unachomachoma wanazngua sana hawa Dada zetu wanaojichubua wakati wa jua wanatoa harufu ukimkaribia dah unakuwa Na kichefuchefu
Kuna harufu moja balaa asee... Yani hata nikiwa hotelini/Bar huwa nachagua dada wa kunihudumia maana ile harufu hamu yote ya chakula au kichwaji inaisha
 
Kiukweli yale mafuta huwaga yana harufu kali sana yakuchefua, pole ila nawe si ungekausha tu mwili wake mwenyewe mwache aubadilishe atakavyo.
Kila tukipiga story anasisitiza nimwambie kweli kuhusu chochote kumbe hana kifua.. Alijua labda ningemsifia kwa kuharibu uso..
 
Mleta mada hongera sana kwa kuwa mkweli, hakika pamoja na kwamba amechukia ila kuna mwimbaji katika wimbo anasema message imekuwa RICHABO....HAKIKA WANABOA INGAWA NAJUA WASHIRIKA WATAMWAGA POVU HAPA, WAKIMWAGA POVU DEKIA ROOM MKUU. Ukweli lazima usemwe.
Mpaka sa hv bado ananitumia msg haamini kama ningemwambie vile.. Najua leo ana hasira ila kesho atanifuata tu.. Maana analiaga shidashida sana
 
Doh kujichubua noma. . Ni aibu kwa kweli, afu wadada zetu weng wanajichubua na vipodozi vya bei cheee
 
Hapo sikukuu yake imeingia doa huenda kaenda kulala baada ya wewe kuondoka
Mpaka sa hv bado ananitumia msg... Haamini kama ukweli leo umesemwa.. Anasema eti mchumba ake ajamwambia mimi ndo nakihelehele... Nikamjibu labda kama uyo mchumba ake ni mkongo ndo maana hajaona hyo kasoro
 
Hiyo tabia ya kuwaambia ukweli hao watu hakutakuacha salama Haya mapovu humu J.F Hujawagundua Tu....Ila somo huwa wanalipata kimoyomoyo ingawa na sisi tunaipatapata hii ndio safi hizi sio karne za kuangalia Makunyazi. Mwisho wa siku heshima Juu.
 
Mleta mada hongera sana kwa kuwa mkweli, hakika pamoja na kwamba amechukia ila kuna mwimbaji katika wimbo anasema message imekuwa RICHABO....HAKIKA WANABOA INGAWA NAJUA WASHIRIKA WATAMWAGA POVU HAPA, WAKIMWAGA POVU DEKIA ROOM MKUU. Ukweli lazima usemwe.
Hamwagi mtu povu hapa, maana wote tutajidai tuna natural colour mkuu
 
Back
Top Bottom