Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Kama Ana Agenda Yake Binafsi Na Pengine Ametumwa Kwa Makusudi Ili Ani Provoke Kisha Wafanye Yao Nipo Tayari Kwa Lolote. Huwa Napenda Mno Kushirikiana Na Watu Humu ILA Huyu Dada SIJUI ANANITAFUTIA NINI HUMU JF. Mimi Mbona Simfuatifuati? au Anadhani SIMJUI KIUHALISIA YEYE NI NANI? Namweshimu Tu Na Namtunzia SIRI ILA NIMESHAMJUA A TO Z Na Kama Haamini Aendelee Kunichokonoa. Napenda Sana Utani ILA Comments Za Huyu Dada Kwangu Huwa Ni Za Kunichokoza Na Ni Kama Vile Kuna Watu Wanamtuma Kwa Maslahi Yao Na Sidhani Kama Huwa Anakemewa ISIPOKUWA GENTAMYCINE Akijibu Tu Utaona Ninavyolaumiwa Na Kushutumiwa Humu. Na Hapa Sasa Ndiyo Nitawajua WANAFIKI Na WAKWELI.
Usipaniki bro,uwe unapuuzia tu humu chokochoko hua nyingi ni za kupuuza
