Dada Zangu Nawaombeni mnisaidie

Dada Zangu Nawaombeni mnisaidie

Ushauri huu ni maridhawa.........otherwise atumie ngozi..........

Preta Umeshaanza Bangi Zako Dada? Hebu Nishauri Kaka Yako GENTAMYCINE Ili Nami Niweze Kumshauri Wifiyo Nisicheze NJE CUP Na Kumsaliti.
 
Atumie tu COTTON WOOL.Hi ipo natural sana hivyo haiongezi wala kubadilisha ladha ya Tunda kwani haina kemikali yoyote.Akishaitumia wewe onja tunda na utakubali mwenyewe!

Shikamoo Mkupuo!
 
Mh sijawahi waza ina effect kwenye tendo la ndoa kwani akizitumia anapata madhara gani??fungus kuwashwa au nini??

Si Bora Hata Hizo Fungus Mkuu Lakini Ladha Ya Asili Ya Utamu Wa TUNDA La Moyo Inapotea Kabisa Na Inanisumbua Mno Mkuu Ila Poa.
 
Hc ni nzuri. Hizi vitu zinatengenezwa na kuwekewa conditions flani kwa mfano hc ni tofauti na always...pengine "mixture" anayofanya ina haribu maxingira ya mahali husika...aache kuchanganya bidhaa moja tu inafaa zaidi ila haijustify wewe kwenda mechi za ugenini...
 
Nasikia HQ huwa zina wapa ubaridi... Kwaio una weza uka shangaa una subiri period ikate upige mambo.. kumbe ule ubaridi ulisha mridisha gucci wako mapema sana
 
Walio changia huu uzi wote kwa +ve way wote ni ''KE'.uzi wa kipekee huu mwanzishaji ME wachangiaji KE
 
hahahahahahhaaaa!!! duh! mbavu zangu jaman! watu mna majibu!
mimi nakushauri uulize hao wa nje wanatumia nini then apply kwa huyo uliye nae nadhani hii ni bora kwako kiafya , kiuchumi, kimaadili na hata mungu muumba anakubariki aamen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom