Dada zangu hii sio FAIR kabisa...

Dada zangu hii sio FAIR kabisa...

pole ..naona umetendwa..........in maana wakiwa kwenye siku zao wakatae ofa zenu?

Nahisi amenidanganya tu, afu kama kaniotea vile, manake huwa siwezi kumwambia dem eti nikahakikishe kama kweli yuko kwenye siku zake? huwa naona kama namlazimisha
 
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"

HII NI HAKI KWELI?[/h]

Hii weye nawe boya sana chapaaa zote hozo eeeh. Ungekua AR ningekupeleka Mianzini au ------ baa ungetumia 25000 10 gesti+ 10 malipo + 5 vinywaji
 
Nahisi amenidanganya tu, afu kama kaniotea vile, manake huwa siwezi kumwambia dem eti nikahakikishe kama kweli yuko kwenye siku zake? huwa naona kama namlazimisha
Sijaelewa vizuri naomba ufafanuzi
Yaani anayefanya hivo ni gelo frend wako au au wale malaya
wa mnaowaokota na kuwatumia siku moja???
Kama ni g.friend wako sidhani kama kuna ubaya wowote.!
Au ulitaka akupe hivohivo uogelee kwenye dimbwi......lo!!!!
 
Hii weye nawe boya sana chapaaa zote hozo eeeh. Ungekua AR ningekupeleka Mianzini au ------ baa ungetumia 25000 10 gesti+ 10 malipo + 5 vinywaji

We jamaa usiseme ivo, hujamuona huyo manzi alivo mkali arifu! ungekua ww ungeweza kuhonga hadi shamba lako la urithi nakwambia, believe me!
 
yaani kwa kiasi hicho cha pesa unapata wawili wa ukweenhe! Na chenji inabaki ya supu asubuhi...tatizo madogo hamyajui machimbo!

Hahahahaaaa, u must be kiddin kaka
 
Sijaelewa vizuri naomba ufafanuzi
Yaani anayefanya hivo ni gelo frend wako au au wale malaya
wa mnaowaokota na kuwatumia siku moja???
Kama ni g.friend wako sidhani kama kuna ubaya wowote.!
Au ulitaka akupe hivohivo uogelee kwenye dimbwi......lo!!!!

Kitu kipya hiki ndo kimenikubalia juzi tu baada ya kuteseka kwa takribani miezi 4
 
Du!Pole sana mkuu kwa taabu na shida ulizopata maana najua wakati wote toka umekutana nae,mkaenda kula mpaka mnaingia gesti najua mtu mzima alikuwa amevimba na kutoa machozi ya hapa na pale maana kusubiri miezi minne si kazi ndogo.
Nadhani bado huyo manzi anakujaribu aone kama una malengo nae au unataka kula tu mzigo halafu umkimbie.Badilisha mwenendo wa mashambulizi kulingana na unavyoona na ipo siku utafanikiwa.
Angalizo;Usije kuwa unasumbuka wakati wenzako wanamega kiulaini kuwa makini.
 
Nimekusoma askari wangu, ngoja nibadilishe mfumo kama NECTA
 
acha ushamba wewe, unaibiwa eti unaxema mkali!! hiyo ni fani tu, unawezakuta maudhui ovyo. kutembea kwako huyo ndo demu ulioona mzuri! na bado wazuri wanazidi kuongezeka, itabidi uwafungulie account yao.
 
Back
Top Bottom