Dada yetu wa JF anaomba msaada, tumsaidie ushauri

Kwani kuna ubaya gani si wanafanya biashara pamoja lazima wapendane ili biashara isonge
 
Na yeye atafute kibenteni wapendane. Apunguze maumivu.
 
Huyo mwanamke mpumbavu ndio shida yakumtegemea mwanaume kwa kila kitu...ushaona mtu anapenda kwingine achana nae endelea na maisha mengine
 
Hiyo ndoa mbona ishakufa kitambo


Mwaga mboga tu



Akapambane na mume wa mwenyewe.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…