DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Dada shikilia msimamo wako huo huo me nilisomaga ma ushauri ya huku ooh unabania bania nn kiliwe na nyerere hatimaye nkaachie wakt namaliza chuo mwaka wa tatu

Ila me nashukuru wa kuoa wanajitokeza wengii tu na hao wakuoa ndo ata hawajanionja
Hahah kwa hiyo wanaonja wengine....waowaji wanakuwa ni wapenz watazamaji?
 
Best advise ...
 
Watu wazima wanao jielewa kwa kila jambo. Kuna wenye 60 still Wana act ka wako balehe hao sio watu wazima. Majority ya watu wazima wako matured in every sector compare na vijana. Hafu nyani mzee kakwepa mishale mingi sana. So mi Hu choose wisely and carefully
 
Hold on!!, wait a second [USER]Heaven Sent[/USER] kwani huyu ni wewe? Mbona anatumia alama sana kama wewe? Yaani mkato na nukta. Nimewaza tu [USER]Dadahuyu[/USER] bado nakutafuta kwenye kila like iliyotolewa huku ntakujua tu labda huu uzi usiushiriki tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka hapo haujalijua tatizo lako ni nini?Ukiona watu wanavyo-bet michezoni ndiyo utajua tatizo lako limelalia WAPI hasa.
 
First accept reality then calm down and wait for the next man of your dream....
 
Karibu mgeni!!!
 
Wewe una matatzo endelea kutunza papuchi hata kunguni wanaweza kukusaidia kuitumia
 
Afu hawaelewi pesa ni mwanzoni tu , ukishaanza kupendana wala huwez kumchuna ila unampenda yeye kama yeye.....na kama akikuchukulia poa kisa pesa zake unaliacha tu
Mahusiano ni zaidi ya pesa
Wewe ndio Dadahuyu...
 
hapo ndio maana halisi ya mapenzi hayana formula-JIWE mwenyewe yalimshinda na ubabe wake
 
Kwa hiyo una bikra na hiyo bikra itatolewa siku utayo olewa?
Weweeee jiangalieee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…