Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana

Mijadala Migumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
397
Reaction score
454
Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja.

Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless.

Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua sana kashamwambia ana mume na mtoto lakini Bosi haelewi, kiasi imefikia mpaka Dada anaichukia kazi yake.

Dada anampenda sana Mumewe hataki kumsaliti, na kazi yake anaipenda pia ukizingatia ajira zilivyo ngumu kupata, anahofia kuacha kazi. Hivyo anapitia wakati mgumu sana tunaomba ushauri wenu waungwana.
 
Huyo Boss Hana Boss wake ??
 
a report hiyo kesi TAKUKURU. Au kwa boss wake.
 
Kabla walimwengu hatujamshauri, wewe umemshauri vipi dada yako alivyokwambia bosi anataka amle!?
 
Mlango mmoja ukijifunga mwingine utafunguka Kila jaribu Lina mlango wake wa kutokea asiogope kuachishwa kazi kisa kudhalilishwa na laiti akimvulia chupi huyo boss basi atakuwa mtumwa kingono siku zote kazini akomae tu
 
Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja.

Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless.

Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua sana kashamwambia ana mume na mtoto lakini Bosi haelewi, kiasi imefikia mpaka Dada anaichukia kazi yake.

Dada anampenda sana Mumewe hataki kumsaliti, na kazi yake anaipenda pia ukizingatia ajira zilivyo ngumu kupata, anahofia kuacha kazi. Hivyo anapitia wakati mgumu sana tunaomba ushauri wenu waungwana.
huyo dada ndio wewe.
 
Nilimshauri asiache kazi akomae, ila anadai bos kazidish usumbufu sana.
TAKUKURU ipo kwa ajili ya nini kwani? Au kwa ajili ya rushwa za bia na nyama choma?

Na je kazini kwao hakuna dawati la jinsia lile (Gender Desk)? Na kama lipo nalo anaelisimamia ni huyo huyo msela (boss mzinzi)?
 
Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja.

Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless.

Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua sana kashamwambia ana mume na mtoto lakini Bosi haelewi, kiasi imefikia mpaka Dada anaichukia kazi yake.

Dada anampenda sana Mumewe hataki kumsaliti, na kazi yake anaipenda pia ukizingatia ajira zilivyo ngumu kupata, anahofia kuacha kazi. Hivyo anapitia wakati mgumu sana tunaomba ushauri wenu waungwana.

Awajulishe TAKUKURU wafuatilie, naamini huyo boss atakamatwa tu na atakoma kuendelea na hiyo tabia mbaya.
 
Back
Top Bottom